Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Ndio safi maana mmezidi kutumia Data kwa mambo yakipuuzi
Wengine hutumia kwa mambo ya maendeleo
Kila siku Fb kuitusi Serikali.

Nabado
Hapo umecomment hivyo angalau tuu kabuku saba kaingie mfukoni.
 
Kuna watu wanahitaji ubatizo tena wa moto
Aisee nimegundua mtu anashangalia bundle za internet kupanda duuh
 
airtel wameshusha mb ghafla! ngoja nirudi halotel mwenyewe
 
hapa ni kilio cha samaki.... but ingekuwa mambo mengine ya akina Dk mwaka..au ukuta serikali ungeiona faster Hapa kuja kukanusha...
 
Yaani leo vifurushi vimepanda bei maradufu shilingi 1000 unapata mb 350 hii ni kwenye tigo huko airtel na voda ni majanga serikali iliyochaguliwa na "maskini" iko wapi? Au huku ndio kuisoma namba kwenyewe?
Kuna mijitu mipumbavu inashangilia kila kitu wala haijionei huruma
 
Yaani leo vifurushi vimepanda bei maradufu shilingi 1000 unapata mb 350 hii ni kwenye tigo huko airtel na voda ni majanga serikali iliyochaguliwa na "maskini" iko wapi? Au huku ndio kuisoma namba kwenyewe?
Hamia kwingine fasta, mimi nshafanya kweli
 
We jamaa kaa kimya bana unawaita waje halotel hujui tukiwa wengi bei itapanda kama mitandao mingine? We piga kimyaaa
Kweli kabisa, watu hawajui kula na vipofu.... usitaje halotel hapa.... wanatuharibia dilii
 
Nimejiunga airtel Leo 1Gb kwa 1000.imepanda mchana huu au


Hebu jaribu tena utupe mrejesho maana mm nimejiounga jioni hii 500MB kwa 3000 kwa wiki, ukitaka IG ni 5000 sasa hivi
 
Ni muda muafaka wa kutafuta line ya halotel sasa.........kama wao hawajapandisha....nani mwenye taarifa za bei zao za vifurushi?

halafu inasikitisha kuna watu hapa wanaona internet ni luxury!
 
Wakuda wote hapa ndio sebuleni kwao, ila kwa kifupi airtime na internet bundle si tatizo kabisaaa.
Ukimaliza kumpa hints usisite kunipa, wakubwa hatutupani kiongozi.
 
Hawa Halo wapo poa bado..japo nadhani it won't be long....!!
uploadfromtaptalk1471026952103.jpg
uploadfromtaptalk1471026960835.jpg
uploadfromtaptalk1471026968868.jpg
 
Mimi nimeshasahau hata bei ya vifurushi ni kama natumia internet bure tu.

Hii siri nitabaki nayo mwenyewe Wabongo hamna dogo yakifika vyuoni itakuwa shida tupu. Miye kimyaaa.
mkuu naomba nikufate pm unimegee maujanja
 
Back
Top Bottom