Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

kwa hiyo serikali inapaswa kuwalazimisha kushusha bei? Wanaofahamu hebu nijuzeni maana sijaelewa kwa hapo? Nilijua biashara ni ushindani. Inawezekana wameona demand imepanda ya hivyo vifurushi
 
utalalamika nini wakati tcra ni kibaraka wa makampuni makubwa yaliyo pewa hatimiliki
 
Masikini hatumii vifurushi vya internet mkuu sasa hivi yupo na simu yake ya tochi anapiga na kutuma msg labda wakipandisha bei na hivyo vifurushi vya muda wa maongezi.Wewe unamiliki tablets unataka uitwe masikini jamani tuacheni masihara .
basi wasiseme kuwa wamechaguliwa na maskini....kama mambo yenyewe ndio haya...serikali inapiga kimya kwenye mambo kama haya..
 
kwa hiyo serikali inapaswa kuwalazimisha kushusha bei? Wanaofahamu hebu nijuzeni maana sijaelewa kwa hapo? Nilijua biashara ni ushindani. Inawezekana wameona demand imepanda ya hivyo vifurushi
ukiona hivyo waongezewa kodi
 
Ongea na sirikali yako mtuache na makampuni yetu! Hutaki zima simu! ! Na baadoo! Nchi ya viwanda ebo!
 
Back
Top Bottom