Una line ya tigo?Ukimaliza kumpa hints usisite kunipa, wakubwa hatutupani kiongozi.
Kama unatumia line ya tigo welcome.mkuu naomba nikufate pm unimegee maujanja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We jamaa kaa kimya bana unawaita waje halotel hujui tukiwa wengi bei itapanda kama mitandao mingine? We piga kimyaaa
Tafuta halotel lain ya chuo ndo utaenyoj vizurHawa Halo wapo poa bado..japo nadhani it won't be long....!!
View attachment 380496View attachment 380497View attachment 380498
Ongea na sirikali yako mtuache na makampuni yetu! Hutaki zima simu! ! Na baadoo! Nchi ya viwanda ebo!
For the first time, nimesema kwaheri Airtel baada ya kuitumia kwa miaka kadhaa kwa data but am done with them. Yaani walivyonikera afadhali nitumie gharama hizo hizo kwa ISP wengine kuliko airtel! Unapandisha vp gharama kwa zaidi ya 100% overnight? This's totally bullshit. Kilichonikera zaidi wamepandisha gharama wakati nimeshanunua mivocha kibao ambayo nitalazimika kuitumia kwa ajili ya kupiga bila kupenda.Ahsanteni kwa kunihudumia miaka yote Celtel/Zain/Airtel lakini it is time to say goodbye.
Sie wengine hivyo vifurushi vya cuo wala havitusaidii kutokana na matumizi makubwa ya internet tunayotumia! Yaani nikiona watu wanavyousisha internet na mitandao ya kijamii natamani kuwatukania hadi wazazi wao manake inaonekana bado wapo miaka 10 nyuma... yaani wala hawafahamu maisha haya internet ndo kila kitu kwa shughuli nyingi sana za kiuchumi!Tafuta halotel lain ya chuo ndo utaenyoj vizur
ni hatua pia ya kuzuia usambaaji wa taarifa kwa mitandao ya kijamii
Airtel mwanzo ilikuwa GB 6 kwa tshs. 9,000 kwa wiki nzima lakin Leo hii imepanda na imekuwa tshs. 10,000 GB 2.5 kwa wiki nzima! Nahama
mkuu line ya chuo halotel unapata 10gb kwa tsh 9999Sie wengine hivyo vifurushi vya cuo wala havitusaidii kutokana na matumizi makubwa ya internet tunayotumia! Yaani nikiona watu wanavyousisha internet na mitandao ya kijamii natamani kuwatukania hadi wazazi wao manake inaonekana bado wapo miaka 10 nyuma... yaani wala hawafahamu maisha haya internet ndo kila kitu kwa shughuli nyingi sana za kiuchumi!
nipo mkuu😛 upo mpenzi?
Huna pa kukimbilia, mitandao yote inapandisha gharama za internet bundle.Airtel mwanzo ilikuwa GB 6 kwa tshs. 9,000 kwa wiki nzima lakin Leo hii imepanda na imekuwa tshs. 10,000 GB 2.5 kwa wiki nzima! Nahama