Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,244
- 27,819
Kabisa na pamoja na vilaza wenzake TCRA kama unavyo ona watu wanavyo tumia madishi ya canal yanayo tumika burundi na congo DRCSo nape kashapigwa chenga ya mwili?
Kabisa na pamoja na vilaza wenzake TCRA kama unavyo ona watu wanavyo tumia madishi ya canal yanayo tumika burundi na congo DRCSo nape kashapigwa chenga ya mwili?
Mkuu router za voda za 650k na 950k kwa mwezi unakuwa unalipia shingap?Airtel shop uliyekutana naye ni novice i.e mgeni wa haya mambo...
Router wanazotoa ni za unlimited... Na hii business wanadili nayo makao makuu tuu kwa sasa, kule Moroko. Hata aloniletea mimi router asubuhi alipita kwanza huko makao kuchukua makao ndipo akaja kwangu..
Voda na Airtel wote wana vifurushi category 2, EntepriceBusiness na Retail/Home.
Enteprice, unapewa router bure, ila router inakuwa mali ya kampuni na inatakiwa isihame hame. Pia kwa Airtel vifurushi vya Enteprice vinaanzia 110k.
Retail, router unanunua na inakuwa mali yako. Kwa Airtel vifurushi vinaanzia 70k. Router za Airtel wanauza 200k, router za Voda zipo za 650k na 950k.
Bei gani mpaka kufungaWazee starlink inatumika fresh bongo una agiza kenya hapa unafunga unakula raha fresh kama unavyo ona inavyo tumika dishi la canal
Kwa sasa acha tutulie na router za voda na airtel tuu
Kwahyo Airtel usipolipa mwezi fulani hawana neno, huku Voda kila mwezi bill iko mezani. Sema wako vizuriAirtel kidogo wako serious, wanasambaza 5G kwa speed sio kama voda..
Pia voda wanakulazimisha ulipie kila mwezi, usipolipa wanakuwekea deni, siku ukija kulipa unaanzia mwezi ambao hukulipia, airtel hawana limit, ukikwama hawana neno.
Pia airtel kidogo wako cheap, 30Mbps ni 110k, while voda 30Mps wanauza 120k.
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore
- Hamkuelewana lugha na mtoa huduma.
- Ni kweli hawana router za TZS. 70,000
Bali TZS. 70,000 ni ghalama ya 10Mbps kwa mwezi. (Hii ndio plan ya bei ya chini).
Unapewa router kwa initial cost ya TZS. 200,000, kwa sharti la kulipia 10Mbsp (TZS. 70,000) kwa kila mwezi, iwapo 10mps inakidhi mahitaji yako.
View attachment 2773215
Airtel wanauza bundle mkuu.Tambua kuwa, Wote wanauza speed kwa swala la 5G unlimited Plan
Ndio, hakuna kulazimishana..Kwahyo Airtel usipolipa mwezi fulani hawana neno, huku Voda kila mwezi bill iko mezani. Sema wako vizuri
Mkuu, umedanganywa ukadanganyika huko ulikoendaAirtel wanauza bundle mkuu.
Ni airtel makao makuu mlandege..
Hio ndio shida,Agiza Dsm tu. Kuna wakati nilitafuta Super Kasi ya voda Mwaka jana, hakuna mtu aliejua. Mpaka Ofisi zao zote. Niliagiza Dar es salaam tu. Hivyo Fanya hivyo.Ni airtel makao makuu mlandege..
Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.
Hii huduma kwa sasa ipo Dar tuu mkuu, bado haijasambaa sana, ila ni truly unlimited..Ni airtel makao makuu mlandege..
Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.
Mkuu ingia kwenye website ya airtel uone sasa, usikubali tu maelezo ya watu wa airtelshop ukatulia. Muda mweingine watu waliopo ofisini walitakiwa wawe mtaani bila ajira na walio mtaani bila ajira ndo wawe ofisiniAirtel wanauza bundle mkuu.
Kama ni Zanzibar ni kweli hakuna. Kwasasa huduma hiyo ipo kwenye mikoa ambayo wameweka 5G ambayo ni Dar na Dodoma.Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore
Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.View attachment 2773966
Hii unatakiwa agize Dar.Ni airtel makao makuu mlandege..
Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.