Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni kama unavyo lipia kenya na hapa ni vile vile kaka

IMG_5032.jpg
 
Airtel shop uliyekutana naye ni novice i.e mgeni wa haya mambo...

Router wanazotoa ni za unlimited... Na hii business wanadili nayo makao makuu tuu kwa sasa, kule Moroko. Hata aloniletea mimi router asubuhi alipita kwanza huko makao kuchukua makao ndipo akaja kwangu..

Voda na Airtel wote wana vifurushi category 2, EntepriceBusiness na Retail/Home.

Enteprice, unapewa router bure, ila router inakuwa mali ya kampuni na inatakiwa isihame hame. Pia kwa Airtel vifurushi vya Enteprice vinaanzia 110k.

Retail, router unanunua na inakuwa mali yako. Kwa Airtel vifurushi vinaanzia 70k. Router za Airtel wanauza 200k, router za Voda zipo za 650k na 950k.
Mkuu router za voda za 650k na 950k kwa mwezi unakuwa unalipia shingap?
 
Airtel kidogo wako serious, wanasambaza 5G kwa speed sio kama voda..

Pia voda wanakulazimisha ulipie kila mwezi, usipolipa wanakuwekea deni, siku ukija kulipa unaanzia mwezi ambao hukulipia, airtel hawana limit, ukikwama hawana neno.

Pia airtel kidogo wako cheap, 30Mbps ni 110k, while voda 30Mps wanauza 120k.
Kwahyo Airtel usipolipa mwezi fulani hawana neno, huku Voda kila mwezi bill iko mezani. Sema wako vizuri
 
  • Hamkuelewana lugha na mtoa huduma.
  • Ni kweli hawana router za TZS. 70,000

    Bali TZS. 70,000 ni ghalama ya 10Mbps kwa mwezi. (Hii ndio plan ya bei ya chini).
    Unapewa router kwa initial cost ya TZS. 200,000, kwa sharti la kulipia 10Mbsp (TZS. 70,000) kwa kila mwezi, iwapo 10mps inakidhi mahitaji yako.
    View attachment 2773215
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore

Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.
IMG-20231005-WA0004.jpg
 
Ni airtel makao makuu mlandege..

Yeyote aliyekua unguja anaeza enda thibitisha hili.
Hio ndio shida,Agiza Dsm tu. Kuna wakati nilitafuta Super Kasi ya voda Mwaka jana, hakuna mtu aliejua. Mpaka Ofisi zao zote. Niliagiza Dar es salaam tu. Hivyo Fanya hivyo.
 
Connect D-Link DIR-524 to a broadband modem and wirelessly share your high-speed internet connection and enjoy surfing the web, checking e-mail and chatting with family and friends online. The router uses wireless n 150 technology, which offers increased speed and range over the 802.11g/b standard. It features NAT (Network Address Translation), allowing multiple users to connect to the internet by sharing a single IP address. The DIR-524 also includes an integrated 4-port 10/100BASE-TX ethernet switch that gives you the flexibility to connect wired computers to the network. The built-in firewall safeguards your network from harmful attacks. It minimizes the threats of hackers and prevents intruders from entering your network. Additional security features include a stateful packet inspection (SPI) firewall that analyzes network traffic and parental control that prevents users from viewing inappropriate content. The DIR-524 also supports WEP, WPA and WPA2 encryption to keep your network traffic secure.
275315516.jpg
 
Hii kitu ya 70,000 Zanzibar hakuna kabisa wala haipo labda Dar es salaam...mtoa huduma mwenyewe ni kama hana details kamili..ukiwauliza sana wanachanganyikiwa wana ku-ignore

Nime attach karatasi yenye bei ya vifurushi vyao.View attachment 2773966
Kama ni Zanzibar ni kweli hakuna. Kwasasa huduma hiyo ipo kwenye mikoa ambayo wameweka 5G ambayo ni Dar na Dodoma.
 
Back
Top Bottom