Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,822
- 40,155
- Thread starter
- #2,621
Mkuu kama umetest mitandao yote hata ukinunUA Router haitasaidia kitu mambo yatakuwa yale yale, unless hio router unaenda kuifinga nje ama eneo kwenye network nzuri.Habari Mkuu naomba ushauri
Natumia redmi note 7 kama chanzo changu kikuu cha Internet ,
huku nilipo (Kigamboni) zaidi ya voda karibia mitandao yote 4G zao ni za kusuasua mno
Sasa nilifikiria kuagiza router, naomba uniambie ni specs gani muhimu za kuzingatia ili kupata router stable itakayohimili mikiki ya mitandao ya TZ
AU kama kuna chombo kinachoboost 4g kwenye Smartphone unaweza nitajia tafadhali
Zaidi nategemea ushauri na mapendekezo yako mkuu, maana voda vifurushi vyao vinanifirisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejaribu halotel 4g pia haikamati?