Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Habari Mkuu naomba ushauri
Natumia redmi note 7 kama chanzo changu kikuu cha Internet ,
huku nilipo (Kigamboni) zaidi ya voda karibia mitandao yote 4G zao ni za kusuasua mno

Sasa nilifikiria kuagiza router, naomba uniambie ni specs gani muhimu za kuzingatia ili kupata router stable itakayohimili mikiki ya mitandao ya TZ

AU kama kuna chombo kinachoboost 4g kwenye Smartphone unaweza nitajia tafadhali

Zaidi nategemea ushauri na mapendekezo yako mkuu, maana voda vifurushi vyao vinanifirisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama umetest mitandao yote hata ukinunUA Router haitasaidia kitu mambo yatakuwa yale yale, unless hio router unaenda kuifinga nje ama eneo kwenye network nzuri.

Umejaribu halotel 4g pia haikamati?
 
HALOTEL na mitandao mingine 4G Zinakwamakwama sana ila naona VODA ndo inanyooka

Naomba unisaidie Specs za kuzingatiwa nnapochagua router itakayohimili band za mitandao ya kibongo

Wakuu mi natumia voda ila vifurushi vya bando in bei kweli mb200 kwa 1000 yaani mda mfupi tu kimeisha mtandao gani nitaweza kupata kifurushi cha mwezi kwa 10000 chenye GB angalau hata tano na spidi nzuri nihamie maana voda nadhani wananikomoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HALOTEL na mitandao mingine 4G Zinakwamakwama sana ila naona VODA ndo inanyooka

Naomba unisaidie Specs za kuzingatiwa nnapochagua router itakayohimili band za mitandao ya kibongo

Sent using Jamii Forums mobile app
L

1. Unatakiwa uangalie band, Kwa Tanzania usitegemee tu mtandao mmoja hakikisha ina band za 4g za mitandao yote. Band zenyewe ni
800, 1800, 2300 na 2600, pia nimewahi ona screenshot ya mtu band 2100.

2. Iwe na Lte zote ukikosa kabisa angalau lte advance na mtandao kama Halotel unafaidika na mimo una 2xMimo na ukiwa na kifaa cha kisasa nimewahi pata peak speed hadi 200mbps na sustainable speed hadi 120mbps.

Hii Mimo ni ule uwezo wa simu ama router kupewa signal na mnara zaidi ya mmoja. Hivyo unakuta minara miwili inakupa signal kwa pamoja na kusababisha speed iongezeke.

Njia rahisi ya kutofautisha baina ya lte ya kawaida na lte advance unaangalia speed ukiona imeandikwa 150mbps ujue hio ni lte ya zamani, lte advance inaanzia 300mbps kuendelea zipo hadi za 2GBps ila bei zake ndefu.

3. Pia angalia mambo mengine kama aina ya wifi, wifi ya kisasa zaidi inaitwa wifi 6 aka 802.11ax pia wifi ya 802.11ac si mbaya, ila zile wifi zinazoishiwa na n ni za kizamani.
 
Kaka natumia samsung grandprime plus je hii nikitumia 3g ya halotell naweza update window yang. Kwa kile kifurushi cha usiku park. Naitumia hii sm kufanya tethering kwa usv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L

1. Unatakiwa uangalie band, Kwa Tanzania usitegemee tu mtandao mmoja hakikisha ina band za 4g za mitandao yote. Band zenyewe ni
800, 1800, 2300 na 2600, pia nimewahi ona screenshot ya mtu band 2100.

2. Iwe na Lte zote ukikosa kabisa angalau lte advance na mtandao kama Halotel unafaidika na mimo una 2xMimo na ukiwa na kifaa cha kisasa nimewahi pata peak speed hadi 200mbps na sustainable speed hadi 120mbps.

Hii Mimo ni ule uwezo wa simu ama router kupewa signal na mnara zaidi ya mmoja. Hivyo unakuta minara miwili inakupa signal kwa pamoja na kusababisha speed iongezeke.

Njia rahisi ya kutofautisha baina ya lte ya kawaida na lte advance unaangalia speed ukiona imeandikwa 150mbps ujue hio ni lte ya zamani, lte advance inaanzia 300mbps kuendelea zipo hadi za 2GBps ila bei zake ndefu.

3. Pia angalia mambo mengine kama aina ya wifi, wifi ya kisasa zaidi inaitwa wifi 6 aka 802.11ax pia wifi ya 802.11ac si mbaya, ila zile wifi zinazoishiwa na n ni za kizamani.
Kwa hyo hii ina maana kwa watu wawili tofauti waliyojiunga kifurushi cha royal zikiisha gb za kasi, tuseme mmoja ana hyo device ya 2xmimo, na mwingne hana hyo device, kwa hyo hawatapata speed sawa kwnye eneo 1???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi halotel wametoa kifurushi cha unlimited cha usiku kwa watu wenye 4G au ni tatizo la mtandao?. Nikijiunga vifurushi vingine vinakubali lakini night offer wanasema sina salio la kutosha.
Screenshot_20191221-232107_Phone.jpg
Screenshot_20191221-232037_Phone.jpg
 
Hivi halotel wametoa kifurushi cha unlimited cha usiku kwa watu wenye 4G au ni tatizo la mtandao?. Nikijiunga vifurushi vingine vinakubali lakini night offer wanasema sina salio la kutosha. View attachment 1299516View attachment 1299517

ichi kifurushi kimekuwa changamoto sana sasa ivi mkuu mm nilikiunga kikakubali lakini nilishindwa kutumia aikufanya kazi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom