Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,007
Halotel wezi. Hicho kifurushi hakitoboi zaidi ya siku 3 mb zimekata. Nishakitumia sana zaidi ya mara 4 lakini kikifika siku 3 kinaisha. Tigo nao nilikuwa napata 2.5GB kwa 2500 lakini leo 1.2 Gb tu kwa wiki. Cha usiku amebaki mkombozi haloteli unlimeted kwa 1000 kuanzia saa 6 mpaka 12asubuhihalotel
1000 1gb week.
100dk halotel.
unaenda kwe ye menu ya halopesa..