Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ndo hizo hizo mkuu. Hizo waya lakini ni kutoka Dslam kwenda kwa mteja, As long as Backbone yao ipo vizuri wewe unaletewa waya wako mpya. Pengine huo uliokatika ni wa Mteja wa Zamani sana.
Samahani hii huduma iko mikoani. Na inagharimu shilijngi ngapi. Pia nguvu ya internet yake
 
Samahani hii huduma iko mikoani. Na inagharimu shilijngi ngapi. Pia nguvu ya internet yake
Ipo mikoani ndio lakini miji ya zamani ambayo hii miundombinu ipo. Kama zipo zile nguzo za simu kuna possibility kubwa nayo ikawepo.

Bei kuanzia 25,000 kwa 4mbps, ipo pia 8mbps kwa 50k na 12mbps kwa 80k.

Internet yake ya kawaida sana sema inastream youtube na kudownloadia si mbaya, kwa siku unadownload hata GB 20 ama 30. kwa muono wangu ina value kubwa sana, japo speed yake inapitwa na mitandao ya simu.
 
Daah hii Tigo iko moto sana Njoo nikuunge kifurushi cha Tigo GB Unlimited ndani ya miezi miwili kwa Elfu 10 tu. Nicheki Pm kama unahitaji.
Hii ikoje fafanua basi unaposema ni unlimited una maana gani ni gb ngap na je ni yale mambo ya vpn au ni vepe maana sisi wengine vpn hatuamind hata kidogo
 
Back
Top Bottom