Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,253
- 44,363
nlikua sijalijua hili!! lakin mbona nikiwa arusha na moshi speed inakua nzuri sana? lakin mikoa kama moro hasa town speed inakua down, by the way nilijiunga na bandle ya 45gb...au bandle pia zinachangia speed?
sijatumia hiyo bundle lakini nafkiri haina limitation ya speed. Modem yako si zile zisizoingia line? Kama ndiyo modem zile ni 3.6mbps hivyo huwezi pata speed ya maana sana kwa idm mwisho ni 450KBps.
Kwa arusha na moshi maybe cdma yao ina nguvu, nafkiri cdma ya zantel itakuwa ndio hio hio ya ttcl huwenda wameinvest sana mikoa hio.