Vifurushi vya Airtel OMG wamepunguza size za bundle

wanacho gb 30 siku 3. kinaanza saa 6 usiku lakini

Kaka mbona hicho kifurushi kimeondolewa kitambo badala yake unapewa 1gb kwa tsh 400 kuanzia saa 6-11 alfajil.
OMG ishakuwa useless, tigo nao maeneo ya kwetu ni full kobe so nimerudi kwenye unlimited ya voda buku unakamua 7gb kiaina speed ni 700KBps baada ya hizo 7Gb inadrop kwenye 35-50KBps
 
duh nilikuwa sijui, hata tigo wamepunguza now ni siku 2 sio 3
 
Heri hao tigo kama sehemu yenu nzuri unazikamua zote bila shida tena kwa speed nzuri tu mwanzo mwisho kuliko hawa Airtel na 1GB yao uchwara japo wanaongoza kwa speed maeneo mengi
 
Airtel nashindwa hata kuwaelewa walivyo anzisha vifurushi vyao vya omg tukawa tunawapigia promo watu watumie omg sasa wameona wamepata wateja wengi wanabadilisha wanafikiri wateja wanabaki sasa nawafata zantel 45gb kwa 25000 sasa tukijazana huko nao wataondoa tu ila aminia wapemba wajeur kidogo labda wanaweza dinda hapo hapo
 
Kaka mbona hicho kifurushi kimeondolewa kitambo badala yake unapewa 1gb kwa tsh 400 kuanzia saa 6-11 alfajil.
OMG ishakuwa useless, tigo nao maeneo ya kwetu ni full kobe so nimerudi kwenye unlimited ya voda buku unakamua 7gb kiaina speed ni 700KBps baada ya hizo 7Gb inadrop kwenye 35-50KBps

Unajiungaje na hiyo unlimited ya voda ya 7GB,nayoijia mm buku unapewa GB 1 kwa siku na ikiisha speed unadrop hadi muda wako utakapokwisha.
 
Vifurushi vya mwezi ndiyo balaa. Size zimepunguzwa sana na gharama imeongeza mno.
 
Unajiungaje na hiyo unlimited ya voda ya 7GB,nayoijia mm buku unapewa GB 1 kwa siku na ikiisha speed unadrop hadi muda wako utakapokwisha.

*149*01# then fuata maelekezo ila maujanja sitayaweka humu maana wenyewe wanapitaga hapa
 
Airtel nashindwa hata kuwaelewa walivyo anzisha vifurushi vyao vya omg tukawa tunawapigia promo watu watumie omg sasa wameona wamepata wateja wengi wanabadilisha wanafikiri wateja wanabaki sasa nawafata zantel 45gb kwa 25000 sasa tukijazana huko nao wataondoa tu ila aminia wapemba wajeur kidogo labda wanaweza dinda hapo hapo

Baada ya Airtel tunaweza sema Zantel ndo wanafata kwa speed wengine utumbo mtupu

image.gif
 
Bado ni nafuu sana wakuu tuache kulalamika sana! Ungekuwa unaingia internet cafe kwa hiyo 800 yako ungekuwa unaitumia kwa muda gani na ungeweza kutumia GB ngapi?!

Kula urefu wa kamba yako mkuu...
Kweli kwa kila jambo kuna mtu ata act tofauti tu....
 
Baada ya Airtel tunaweza sema Zantel ndo wanafata kwa speed wengine utumbo mtupu

image.gif

Hapa nnapoandika huu ujumbe natumia zantel, wako slow kias flani, anyway i can not judge them maana nlipokua moshi walikua wapo speed sana...nlipofika huku nilipo wapo slow, lakini nikitumia voda au airtel naona speed yao si mbaya!!!
my take: speed ya mtandao inategemea sana location(according to my experience) so si vyema kujugde kwamba airtel wako slow au voda wako fasta, hii inategemea na state ya mtandao sehem ulipo!!
 
kaka kuna tofauti kubwa ya zantel ukiwa dar na zanzibar na ukiwa mikoa mingine.

Ukiwa dar au zanzibar wanatumia cdma na gsm, hii cdma speed yake ya kawaida sana ila gsm hata mimi nimeshaitumia nikiwa dar inatembea zaidi ya hio screenshot alioeka njunwa.

Mikoa mengine gsm ya zantel ni 2g tu na 3g wanaroam kwa airtel, hivyo unalazimika kutumia cdma ambayo haina speed
 
nlikua sijalijua hili!! lakin mbona nikiwa arusha na moshi speed inakua nzuri sana? lakin mikoa kama moro hasa town speed inakua down, by the way nilijiunga na bandle ya 45gb...au bandle pia zinachangia speed?
 
Back
Top Bottom