Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,293
- 28,421
Kinachoniogopesha kuhusu kifo ni kutokuwa na hakika ya unapokwenda au life after death. Ila kwa mara ya kwanza mwaka huu, naona chochote ni sawa kwani hata nikifariki siongezi wala sipunguzi kituZamani nikisikia neno kifo niliogopa sana
Nikiumwa nilikua nawaza kifo mda wote
Ila sasa sijui nini kimetokea naogopa kupoteza au kufiwa na ninao wapenda
Hiyo trauma ya kufiwa na vipenzi vyangu kheri nife wa kwanza tu ila mimi binafsi hata nikifa leo naona sawa tu