Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 13,627
- 42,724
yeah,jamaa alikuja kuomba ushauri humu ndani ila watu walichukulia poa at the end of time wakashangaa ID yake ina neno RIPAlifikia hatua ngumu sana.Hadi anajitoa uhai?Tuombe kheri.
yeah,jamaa alikuja kuomba ushauri humu ndani ila watu walichukulia poa at the end of time wakashangaa ID yake ina neno RIPAlifikia hatua ngumu sana.Hadi anajitoa uhai?Tuombe kheri.
Nimshukuru Mungu kwa mipango ya mwanadamu?Ukipewa uzima na siha njema mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna miadi na tabibu mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna kesi polisi mshukuru sana Mungu
Ukiamka una sehemu ya kwenda na ukirudi una sehemu yako mwenyewe ya kupumzisha fuvu mshukuru sana Mungu
Mengine ni changamoto za kawaida za maisha! Kamwe USIKUFURU
Sikuona hiyo.Binadamu wengine tulivyo na masihara si ajabu tungepuuza kumbe mtu yupo maji ya shingo.yeah,jamaa alikuja kuomba ushauri humu ndani ila watu walichukulia poa at the of time wakashangaa ID yake ina neno RIP
Nimewataja ambao nilikuwa na mawasiliano nao ya moja kwa moja tena nimemsahau Mohammed Mtoi.. Mtoto niliyemfahamu tangu udogoni😭😭 kada wa CHADEMA aliyeuliwa na chama cha majambazi wakati wa uchaguzi 2015Mshana unawezaje kumsahau Dena Amsi
OkNi typo tu, alikusudia last week
Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kipi mkuu kama si hayo yaliyoainishwa awali?Nimshukuru Mungu kwa mipango ya mwanadamu?
Mwanadamu kaanzisha Polisi kwa malengo yake, mwanadamu kutokana na mwenendo wake mbaya wa maisha anajisababishia maradhi mabaya sana kabla hajafa.
Mungu hashukuriwi kwa kuepusha matatizo tu hata kwa kuyakabili na kuyashinda
Wengine wakamfanyia dhihaka. Mpauko ndio huyohuyo miguu ya kuku na alijipa hiyo ID baada ya kupata huo ulemavu wa miguuyeah,jamaa alikuja kuomba ushauri humu ndani ila watu walichukulia poa at the of time wakashangaa ID yake ina neno RIP
Sio mwanaume tuR.I.P Mpauko,
huyu member amenifanya nijue mwanaume hadi jamii ijue kuwa ulikuwa unayapitia ni hadi pale hilo tatizo litakupeleka either kaburini.
Hakuna anaye jali mapito ya mwanaume ambaye hana uhakika wa kula kesho.
ukisoma uzi wake akiwa kaomba ushauri ni balaa member wanamwambia JIUE right now unasubiri nini?Sikuona hiyo.Binadamu wengine tulivyo na masihara si ajabu tungepuuza kumbe mtu yupo maji ya shingo.
Subhanaallah!Sikuuona huo uzi aisee!ukisoma uzi wake akiwa kaomba ushauri ni balaa member wanamwambia JIUE right now unasubiri nini?
nimesahau ID ya yule jamaa
Huyo huyoWengine wakamfanyia dhihaka. Mpauko ndio huyohuyo miguu ya kuku na alijipa hiyo ID baada ya kupata huo ulemavu wa miguu
Mshukuru Mungu kwa kuwa unaweza kumtukuza tu.Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kipi mkuu kama si hayo yaliyoainishwa awali?
Noma tafuta nyuzi zake usomeSubhanaallah!Sikuuona huo uzi aisee!
Ni bora uzifute tu hizo namba.Haya makampuni ya simu hayakawii kuzigawa kwa watu wengine.Inauma na inaumiza sana Ila kila ukiwaza hamtaonana tena inaumiza zaidi
Upo sawa ila kwangu si sahihi sana.Huwa namshukuru Mungu hadi kwa uhai.Mshukuru Mungu kwa kuwa unaweza kumtukuza tu.
Kufa ni guaranteed, hata ukikwepa kila jambo maisha ya binadamu si zaidi ya majani yanayopendeza wakati wa masika na kusinyaa ghafla kiangazi
Yani mimi na wewe ni mishumaa tu
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu.. Kwakuwa Mungu si mwili bali ni roho..Nimshukuru Mungu kwa mipango ya mwanadamu?
Mwanadamu kaanzisha Polisi kwa malengo yake, mwanadamu kutokana na mwenendo wake mbaya wa maisha anajisababishia maradhi mabaya sana kabla hajafa.
Mungu hashukuriwi kwa kuepusha matatizo tu hata kwa kuyakabili na kuyashinda au kufeli.
Ndio maana anasema Kuishi ni Kristo kufa ni Faida