Vifo vilivyoniumiza JF

Vifo vilivyoniumiza JF

Zamani nikisikia neno kifo niliogopa sana
Nikiumwa nilikua nawaza kifo mda wote

Ila sasa sijui nini kimetokea naogopa kupoteza au kufiwa na ninao wapenda
Hiyo trauma ya kufiwa na vipenzi vyangu kheri nife wa kwanza tu ila mimi binafsi hata nikifa leo naona sawa tu
 
kuna mama alifiwa na mwanae wa kiume alilia sana akisema kwanini sjafaa mim wew ukabaki sjui ni nature au nini na huyo mama alikufa the next day gafla tu
 
Hii planned death wakati inapangwa Mungu si anaona na anajua?
Ila anaacha maana yake anaruhusu?

Aiseee nitakufuru bure tuache tu
Binadamu wana roho mbaya sana kuna mwandishi wa habari alikua anaitwa Jamal kassog aliingia ubalozini uko uturuki kufanya process za kuoa

Ila mwana wa Saudi Arabia alitoa taarifa jamaa auwawe na walifanya hivyo kwa kumkata kata vipande vipande yan hata mfupa hauku onekana

Lakuskitisha Zaid mpenzi wake alikaa nje ya ubalozi akimsubiri jamaa atoke for many hours ila wapi..
 
Ukipewa uzima na siha njema mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna miadi na tabibu mshukuru sana Mungu
Ukiamka huna kesi polisi mshukuru sana Mungu

Ukiamka una sehemu ya kwenda na ukirudi una sehemu yako mwenyewe ya kupumzisha fuvu mshukuru sana Mungu
Mengine ni changamoto za kawaida za maisha! Kamwe USIKUFURU

Hivi ndio vifo vilivyoniumiza JF
1. Mwalimu Frank.. Mtu mzima above 50 alikumbwq na changamoto za kifamilia.. Tukawa na mawasiliano ya karibu.. Lakini hatimaye akafa akiwa mpweke

2. Miguu ya kuku.. Kijana aliyekuwa na ndoto za kufanya makubwa maishani.. Akapata changamoto za kiafya zilizompelekea kupata ulemavu wa miguu.. Nilishiriki kwa karibu kwenye kutafuta tiba sahihi na suluhu ya kudumu.. Lakini hatimaye alikufa😪

3. Warumi.. Alitikisa vilivyo jukwaa la celebrity.. Akapata changamoto za figo.. Hakutamani kufa mapema.. Mawasiliano yangu ya mwisho na yeye ni wakati nimemwelekeza aende hospital ya figo Kibaha loliondo.. Hakupona alikufa

4. Valentine.. Apumzike kwa amani😪 .. Pamoja na juhudi nyingi za kuonana lakini mpaka kifo kinamchukua hatukuwahi kuonana!

5. Niah.. Huyu kwangu alikuwa Dada.. Ni mama mtu mzima aliyewahi kushika nyazfa za juu serikali ya mchonga na mzee ruksa.. Alijawa na upendo na amewasaidia wengi hata hapa JF..!

6. Gwapo Mwakatobe.. Nilimuita brother. Tulishaonana na tulikuwa na mawasiliano ya karibu. Mchambuzi mahiri wa bbc meza ya duara
Baada ya hustle za maisha akatamani akaishi maisha ya shamba kwenye utulivu.. Alifanikiwa kuhamia huko .. Lakini hakudumu.. Ajali ya boda ikamtenganisha nasi😭
Jana usiku nilijikuta nawakumbuka wote hawa.. Nikajikuta bado nina mamba zao za simu! Nimezifuta zote maana zimenikumbusha mengi

Naogopa sana maana sijui nitaona kifo cha nani tena tunayefahamiana.. Ama je itakuwa zamu yangu kwao!?🙌🏿🏃🏿😭
Duuh!Gwapo Mwakatobe kafariki,Sikujua!Poleni wote Wana Jf, Mungu awafarkiji wanafamilia pia
 
Pole sana kwetu JF, BWANA alitoa naye ametwaa jina lake libarikiwe. Kuna ID kadhaa hapo kama nazikumbuka kwa mbali sana japo nilibadili ID yangu nazikumbuka. This reminds us that behind all these anononymous IDs there is real and valuable life. Ni matumaini yangu kuwa JF itaendelea kuwa jukwaa lenye kuthamini hilo.
 
Binadamu wana roho mbaya sana kuna mwandishi wa habari alikua anaitwa Jamal kassog aliingia ubalozini uko uturuki kufanya process za kuoa

Ila mwana wa Saudi Arabia alitoa taarifa jamaa auwawe na walifanya hivyo kwa kumkata kata vipande vipande yan hata mfupa hauku onekana

Lakuskitisha Zaid mpenzi wake alikaa nje ya ubalozi akimsubiri jamaa atoke for many hours ila wapi..
Niliona japo sikumbuki ni mwaka gani na video za CCTV zilionesha akiwa maeneo ya ubalozini hapo kwa mala ya mwisho sometimes nashindwa kujua maana ya maisha
 
Back
Top Bottom