Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

in huzunisha sanaa maana mapungufu yapo makubwa tuu itabidi hili suala la la kupeleka watoto JKT Itabidi liangaliwe upya.
 
Tunaiomba Serekali hii sikivu ya CCM, iangalie upya namna ya mafunzo, sababu za hayo mafunzo, nia ya mafunzo. Hivi ni vitu ambavyo kama hawataviangalia basi tutajikuta tunachukiwa bure tu.
Familia inapomtuma mtoto wao kwenda JKT halafu arudi amewekwa kwenye jeneza, inauma saana sana. Kama nia ni kuwafanya wawe wakakamavu, tuwapeleke taratibu, kama ni kuzalisha maaskari shupavu tuwape nafasi ya kuomba kuwa askari. Walio liondoa hili zoezi, miaka hiyo yote, lazima waliona jambo. tena kipindi kile lilikuwa limewiva sawa sawa, Miye ni mmojawapo niliyepitia Operation Mazoezi, lakini hakukuwa na kifo chochote kile wala ulemavu uliotokea.
Kwa nini?? Kwa sababu Uongozi wa kipindi kile, uliujua wajibu, ulijua sababu ya vijana kupitia JKT. Nasema bila kificho, JKT ya leo, hao viongozi, ni wale waliopewa nafasi tu ya kuthibitisha vyeo vyao walivyopewa bila nafasi ya kuvihitaji. Hawakuhitajika wakuu wengi hivyo.
Wakaanzisha JKT bila kuwaandaa viongozi wa JKT. Nasema, hatuna uongozi. Kama wanasoma humu JF wajue tumewagundua.
 
Mambo mengi Sana yamekuwa yakipelekwa hivyohovyo na serikali hii sikivu, katika maandishi Kuna mambo mazuri Tu, tukisomewa yanaridhisha. Tatizo linakuja katika utekelezaji. Hili la JKT lilijadiliwa vema Sana bungeni, wengi (hasa tuliopita jeshini) tukafurahi kwamba vijana watafaifidika, na jamii kwa ujumla. Hata baadhi ya wabunge wakashiriki. Tatizo linakuja nani anayeendelea kufuatilia utekelezaji WA hili? Viongozi WA makambi wana mafungu ya kutosha? Wakufunzi wameandaliwa vya kutosha? Au wale waliotufundisha kwenda kupigana vita ndo haohao na mafunzo Yao Ni yaleyale wanayatumia Leo kwa hawa vijana? Naamini kama wakufunzi watapata course ya kutosha, wakasimamiwa na junior officers, mafungu yakawepo ya kutosha, then malengo ya course hii yatafikiwa.
 
Waliopita hivi karibuni waulize tofauti ya kuwa chini ya graduates kutoka TMA na wakuu wa kazi "home baked" watakuambia hili kwa ufasaha!!!!
 
inasikitisha sana taifa la kesho linaangamia kwa kisingizio cha uzalendo, wazazi wamepigana sana kusomesha watoto wao halafu wanakufa.kizembe jkt. hili suala liangaliwe upya
 
Ninatamani nijue kama yule binti yetu aliyekuwa amemaliza miaka miwili nyuma, kisha ikaandikwa kwamba
ameenda fomu faiv japo hakukwalifay; sijui yuko kambi gani kwa kuwa kwa vyovyote ameingia intek hii ya agosti.
 
inasikitisha sana taifa la kesho linaangamia kwa kisingizio cha uzalendo, wazazi wamepigana sana kusomesha watoto wao halafu wanakufa.kizembe jkt. hili suala liangaliwe upya
We inabidi uende kabisa kama nakuona utalia saaaanaaa!!!!!
 
Ninatamani nijue kama yule binti yetu aliyekuwa amemaliza miaka miwili nyuma, kisha ikaandikwa kwamba
ameenda fomu faiv japo hakukwalifay; sijui yuko kambi gani kwa kuwa kwa vyovyote ameingia intek hii ya agosti.

Anategemea loan???!!!
 
Acha kulia lia kama mtoto mdogo, masulule kama wewe ndio mnavunjwa mbavu na maafande halafu mnakuja kulia lia hapa JF. Maana hujui unacholia hapa mafunzo ya kijenshi yanakwenda sabamba na mafunzo ya uzalendo. Unaonekana hujawahi kukanyaga jeshini wewe Ze Heby
Kwa hiyo hayo mateso uliopewa yanauhusiano gani na uzalendo..Nazungumzia mateso na sio mazoezi.Na ukishavunjwa mbavu ndio unakuwa unalipenda sana taifa lako na kuacha rushwa,kufanya kazi kwa bidii na kujitoa kwa jamii.Think out of the box dude
 
Zuzu baba yako na mama yako waliokuzaa na kuleta zuzu kama wewe duniani.
Ndiyo maana hata uzalendo huna unakalia kila siku kulalamika Chadema Chadema na kukalia kutetea mafisadi CCM na ACT yako.
Zuzu kama wewe hutakiwi kuongelea mambo yanayohusu uzalendo na ujenzi wa nchi
wewe ndio zuzu kweli. kwa hiyo unatetea vifo na mateso jkt..huyo binti aliefariki angekuwa binti yako ungeongea huu ujinga? taahira we
 
Tatizo la hao maafande ni shule ndogo...sasa wameona vijana wadogo wana elimu zao wanajisikia inferiority complex!...aagh..'nanii zao..'..
 
eniveros sasa unafikili Maafande kwa uzembe wa namna hiyo utaachwa kuvunjwa mbavu. Kweli watoto wa siku hizi mmekuwa mayai. kila kitu kudeka tu, darasani mpaka tuition, mitihani madesa, hata JKT mantaka mbembwe? Ahaaaa!! nakushauri kama hujaenda jeshini nenda wakutoe hayo maji kwenye magoti ukirudi uraiani umekuwa mkomavu kujenga taifa
bwanaee msituletee zama za kale wengine hatujazaliwa,enzi zile na sasa tofauti ht kwenye vyakula vya asili na umri zamani mtu anamaliza o level miaka 25 mwlili umekomaa asa hv mtu 17 anamalza advance na home ugali mboga nane nyie wa zama hzo mlikua mmekomaa.jee unafkri kuna usawa hapo?shule mtu anaenda na skuli bus mpaka siki ya mwisho tusiwatetee jkt tuangalie namna ya kuwasaidia madhara yasizidi au hadi afe mtoto wa kigogo?
 
Zuzu baba yako na mama yako waliokuzaa na kuleta zuzu kama wewe duniani.
Ndiyo maana hata uzalendo huna unakalia kila siku kulalamika Chadema Chadema na kukalia kutetea mafisadi CCM na ACT yako.
Zuzu kama wewe hutakiwi kuongelea mambo yanayohusu uzalendo na ujenzi wa nchi

we kenge unabwabwaja tu. hao wanajeshi wana uzalendo gani kwa taifa .wanajeshi wengi wamekata tamaa ya maisha wamegeuka walevi na wazinzi. nyau we
 
eniveros sasa unafikili Maafande kwa uzembe wa namna hiyo utaachwa kuvunjwa mbavu. Kweli watoto wa siku hizi mmekuwa mayai. kila kitu kudeka tu, darasani mpaka tuition, mitihani madesa, hata JKT mantaka mbembwe? Ahaaaa!! nakushauri kama hujaenda jeshini nenda wakutoe hayo maji kwenye magoti ukirudi uraiani umekuwa mkomavu kujenga taifa

we ni kubwa jinga una akili ndogo kama piriton, kwa hiyo unatetea mauaji na mateso jkt?
 
Tatizo la hao maafande ni shule ndogo...sasa wameona vijana wadogo wana elimu zao wanajisikia inferiority complex!...aagh..'nanii zao..'..

Usipende kukurupuka ndg yangu, jkt kuna wenye elimu tena hata zaidi ya unavyodhani...Officer wa jeshi mara nyingi elimu yake inaanzia degree level.
 
Wakifa mashuleni, vyuoni, mahospitalini nk huwa kuna kuhoji, kifo kipo popote mkuu... kama mungu kapanga, no human'll go beyond his bequeath.

ila jeshini kuna vifo vya kuzembe sana. ukiumwa hupewi matibabu unaambiwa unategea kwata sasa huoni huo ni uzembe?
 
Back
Top Bottom