ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,191
ila jeshini kuna vifo vya kuzembe sana. ukiumwa hupewi matibabu unaambiwa unategea kwata sasa huoni huo ni uzembe?
Ngoja nikueleweshe mkuu...
Kila kikosi kuna daktari by profession mara nyingi hua ni "major" meaning ni degree holder in MD.
Kuna wagonjwa wenye "magonjwa ya kudumu" mf. Kifua, moyo, savere headache, ulemavu, malaria makali nk, hawa huwa hawashughuliki ktk kazi & mazoezi magumu magumu...
Ikitokea mtu akapata ugonjwa wa ghafla, ambao upo serious hata michubuko na vidonda pia upendeleo wa kutoshiriki shughuli zozote za kutumia nguvu, tunaita "C"...!!!
Kama ugonjwa haupo serious basi utapewa "B", hapo utashiriki shughuli lkn kwa uangalizi makini...