Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

Vifo na Vipigo JKT intake June 2014 vichunguzwe

Maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha sita ni madogo sana. Watoto wetu wanaangukia mikononi mwa wahalifu wanaowafanya kuwa guinea pigs kwa kuwafanyia yale ambayo wameshindwa kuyafanya sehemu nyingine. Wamekosa huruma na upendo na kujawa na udhalimu. wanaowafunza watoto hawa walitakiwa wapewe mafunzo ya utu na uzalendo na si kumchukua mtu yoyote .

jeshi sio nyoronyoro,jeshi sio nalenale.unataka wapokelewe kama airhostess wanapokea abiria kwenye ndege?
 
jeshi sio nyoronyoro,jeshi sio nalenale.unataka wapokelewe kama airhostess wanapokea abiria kwenye ndege?

1. Unaongea saaana mkuu ila kumbuka "soldiers are hardened for battle" these mere civilians can not go through the same!!!!

2. Physique inataka psychological and other related preparation, a thorough medical checkup is mandatory to avoid mis-haps!!!!

3. Jeshi ji jeshi na litabaki kuwa jeshi ila hawa wanaozungumziwa hapa sio wanajeshi kwa maana ya wanajeshi so jikite kwenye hii hoja na sio suala la nini ni jeshi as compared to other fields!!!!
 
Nishasema mtoto wangu hawezi kwenda jkt labda kama amenishnda kutunza.

Jkt haina faida yoyote kwa vijana zaidi ya vipigo na mateso. Kama uzalendo ni kumpiga mtu basi watoto wangu acha wakose huo uzalendo...

Mafunzo ya jkt hayana faida zaidi ya kua mlinzi,na hapo unakuta mtu kakaa jkt miaka 2 anaishia kua mlinzi. Kama ulinzi ndio uzalendo mwanangu ataukosa.

Nyie mnaoishabikia ccm ishabikieni iendelee kuleta sheria mbovu za kwenda kuwatesa watoto wenu na kuwauwa kwa kisingizio cha kuwafundisha uzalendo.
 
jeshi sio nyoronyoro,jeshi sio nalenale.unataka wapokelewe kama airhostess wanapokea abiria kwenye ndege?

Utu ni utu tu hata kama ni jeshini .Kumbuka hawa watoto hawana background yoyote ya hayo mazingira ya kijeshi kwa hiyo wangeanza nao taratibu. Kama ni ngumu basi wafanye orientation mashuleni kabla hawajamaliza form 6 ili watoto wajue JKT siyo shule bali watakutana na ABC na hii itawapa kujiandaa vizuri.
 
umeongea maneno ya busara sana mkuu
 
jeshi sio nyoronyoro,jeshi sio nalenale.unataka wapokelewe kama airhostess wanapokea abiria kwenye ndege?

Kama huna mtoto ni rahisi. kusema hizo pumba we subiri uzae umtunze mtoto mpaka miaka 18 halafu aende Jeshini ukiwa unamsubiri amalize urudishiwe maiti ndo utajua hapa tunaongea nini. Kwa sasa unaweza kuona tunapiga porojo tu.
 
Kwenye hili la National Service,serikali ina nia nzuri tu but approach inayotumika ndio inakuwa wrong.Siku hazigandi na mambo yanabadilika,hatuwezi kutumia uzoefu wa mwaka tisini na sita na saba,miaka nearly ishirini iliopita kutenda sasa na tutegemee matokeo mazuri.
 
umenikumbusha mzazi wa haslima alivyokuwa analalamika baada ya binti yake kufariki maafunzonii.. mtoto umtunze kwa gharama kubwa haalafu wehu jeshin wakamuue? hili haalikubaliki hata kidogo
 
nilikuwa na kijana mmoja mtanzania anayesoma havard alikua ananiambia badala ya jkt hawa wahitimu wa kidato cha 6 wangesambazwa shule za maeneo yao tz,it could be helpful
 
umenikumbusha mzazi wa haslima alivyokuwa analalamika baada ya binti yake kufariki maafunzonii.. mtoto umtunze kwa gharama kubwa haalafu wehu jeshin wakamuue? hili haalikubaliki hata kidogo

Inauma sana mkuu!!
 
mimi nakujua unalala kwa shemeji yako. shame on you

Humjui.
Samahani.
Mi namfahamu. Ni afisa mkubwa huko kwa pilato.

Acheni kutiana hasira hapa.

BAK una deni na mimi. Unakumbuka?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
nilikuwa na kijana mmoja mtanzania anayesoma havard alikua ananiambia badala ya jkt hawa wahitimu wa kidato cha 6 wangesambazwa shule za maeneo yao tz,it could be helpful

Wangekuwa msaada mkubwa kulko wanachokifanya!!
 
nilikuwa na kijana mmoja mtanzania anayesoma havard alikua ananiambia badala ya jkt hawa wahitimu wa kidato cha 6 wangesambazwa shule za maeneo yao tz,it could be helpful

ingekuwa ni vizur sana....pesa za kuwapeleka jkt bora wangeongeza wanafunzi wanaohitaji mkopo vyuoni
 
Kwenye hili la National Service,serikali ina nia nzuri tu but approach inayotumika ndio inakuwa wrong.Siku hazigandi na mambo yanabadilika,hatuwezi kutumia uzoefu wa mwaka tisini na sita na saba,miaka nearly ishirini iliopita kutenda sasa na tutegemee matokeo mazuri.
Nailed!!!!!
 
JKT haina tija yoyote. Kwisha! Ukakamavu ni kwa askari sio kada nyingine. Mgesema kila mtu ajifuze ualimu, udaktari,ufundi nk ningewaelewa lakini JKT kwa mwalimu, daktari mhandisi ya nini? Ni kutesana pasipo sababu. Uzalendo unaletwa kwa kutesana? Mbona mafisadi wote wamepite JKT. Uliza akina EL, JK, Pro.Mwongo,wote wamepita JKT
Mimi nilipitia JKT Makutopora.Kwa wakati huu JKT imerudishwa lakini inahitaji maandalizi,akili na maarifa.Ikumbukwe kwamba vijana wanakwenda huko kwa lazima.Hawajapitia serious medical test.Na wengi hawana nia ya kuwa askari.Ni muhimu haya yazingatiwe
1)wapewe huduma nzuri za afya
2)WAPATE CHAKULA KIZURI.kwa wakati na cha kutosha
3)wapate sehemu nzuzi za kulala.pamoja na mosquoto net +blankets
4)wafanye kazi kiasi na kwa akili

KAMA SEREKALI HAIJAJIAANDAA NI VEMA KUYASITISHA
Wapewe mavazi maalum na viatu
 
unafananisha tanzania na israel? hao jkt wanaopalilia mashamba kwa mikono ndio wakapigane vita? vita unaijua kweli mkuu? siku hizi watu wanapigana kisasa hayo mambo ya vita ya misituni na magobore imepitwa na wakati jkt ni kambi za mateso tu hakuna uzalendo wowote unaojengwa

Hahahahahahahahahaha kwi kwi kwi kwi! Mkuu umenivunja mbavu aisee...pokea likes zangu.
 
Serikali irudishe mchakamchaka na magwaride ya chipukizi mashuleni, ili vijana wawe wakakamavu. Labda itapunguza hii hofu ya kwenda JKT.
Katika hali ya kawaida yale mafunzo JKT sio ya kumuua mtu labda kama mtu huyo ana matatizo yake ya kiafya, hebu fikirieni, mafunzo ambayo akina komba na wassira waliyamudu tena kwa mwaka mzima, kijana mwenye afya yake atashindwaje?

Hapa juzi tumeona hata wabunge wanawake wameweza...

Tatizo ni kuwa vijana wengi wanatiana hofu tu, hamna cha ajabu kule...wala hamna haja ya kuhofia.
 
Back
Top Bottom