malalamiko na umbeya umbeya kama huu huwa vinanikera sana,lile ni jeshi.hivi unadhani walienda kula piknik kule?unataka wabebwe mgongoni?au wawe wanafanyiwa party kila siku?otherwise kama kuna kifo kimetokea rip askari.binafsi mdogo wangu yuko kigoma huko nae anakula tabu.najua lile ni jeshi na sio club.
nb:hakuna mtu anaegomewa matibabu jeshini.kuumia wakati wa mafunzo ni kawaida kwa askari
kwa hiyo jkt ni kambi ya mateso