tatizo sis watanzania akili zetu zmelala mno ndio maana tunaishia kulalamika kila kitu.
Jkt unapata maarifa mbalimbali na inakuweka ktk hali ya kufanya kaz sehem yoyote na ktk mazingira yoyote yale.
Sio kila anayesoma ataajiliwa serikalini.
Mm nilipelekwa JKT nikiwa fresh from school na nilikuwa sijui lolote. Lakin mapa nmemali mafunzo pale najua kujenga, fundi umeme hata namna ya kujiajiri kwa kutumia kilimo na ufugaji.
Na hainiingui mtu nafanya kaz mazingira yoyote yale. Npo active kimedani za kivita na jinsi ya kukabiliana na changamoto zozote.
Sasa nyinyi endeleeni kulia na hao wanenu huku watoto wakizidi kuwa sio riziki, kifo hakipingiki hata asingenda jkt angekufa tu kufia jeshin ni sawa na ajali safarin.
Acha umayai mtoto wakiume
we zuzu kweli..kama ni huo ufundi si hata veta wanafundisha? mbona hao wanajeshi hatuoni maendeleo yao zaidi ya kusifika kwa ulevi na uzinzi? hayo mafunzo ya vita ya kutumia magobore na kujificha msituni kwenye mahandaki sasa hizi hamna tena..siku hizi watu wanapigana vita angani kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani..hayo mafunzo yenu ya kujificha vichakani ni ya kizamani hayasaidii. yani mtoto ameenda jkt ndani ya mwezi mmoja amefariki kwa kunyimwa matibabu unaona sawa tu. bila shaka na wewe ni.mmoja wa wabakaji na watesaji
ii