Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,915
- 6,720
Mimi nilipitia JKT Makutopora.Kwa wakati huu JKT imerudishwa lakini inahitaji maandalizi,akili na maarifa.Ikumbukwe kwamba vijana wanakwenda huko kwa lazima.Hawajapitia serious medical test.Na wengi hawana nia ya kuwa askari.Ni muhimu haya yazingatiwe
1)wapewe huduma nzuri za afya
2)WAPATE CHAKULA KIZURI.kwa wakati na cha kutosha
3)wapate sehemu nzuzi za kulala.pamoja na mosquoto net +blankets
4)wafanye kazi kiasi na kwa akili
KAMA SEREKALI HAIJAJIAANDAA NI VEMA KUYASITISHA
Wapewe mavazi maalum na viatu
Hapo kwenye moja na nne ndio haswa pana tatizo..Wengi wa waliofariki kuanzia yule wa Msange,na wa kujitolea wa Bulombora hadi huyu wa Oljoro ni huduma mbaya ambazo pia ni delayed.Nilikwenda pale zahanati naumwa tumbo afande ananiambia nimekula kinyesi,ananipa doso(mateso ya kijeshi) then ananipa panadol nimeze for 5 minutes bila maji then ndio napewa maji.Nikisema naumwa siaminiki hadi nitakapozidiwa kabisa.