Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Lubuva endelea kuwaendekeza tu CCm haki ya mungu mwaka huu tunakukata kimeo
 
Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.mtazua kila jambo mwaka huu
Kwahiyo wewe unajitekenya mwenyewe halafu unajizamisha dole siyo?

DSC01189.jpg
 
Yaani JK na serikali yake wanacheza sana mwaka huu tunatafuna mtu korodani
 
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words

Vicky, uchochezi ni tendo la kuwajaza watu chuki dhidi ya jambo fulani, sasa kwa habari hiyo uchochezi uko wapi? Hiyo habari ni uongo? Kama hiyo habari ni ya uongo utakuwa uko sahihi, lkn kama ni ukweli basi wewe una maslahi na genge la wahuni walioshiriki mchezo huo wa hatari kwa mustakabali wa nchi yetu.

Vv
 
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words

Hakuna kitu kama hicho acheni uzushi na kupoteza muda ...

acha uchochezi...kama unao ushahidi kwanini usiweke hapa?

Mnaishi dunia gani nyie ambayo huwa hamsikilizi redio, hamsomi magazeti wala habari za mitandao ya jamii? Hiyo taarifa ya kukamatwa BVR feki ni ya polisi, na gazeti la Nipashe limeripoti.
Au mmeamua kubisha tu bila kufanya utafiti kidogo!
 
Kabombe na Victoire, mko wapi? You are too judgemental, njooni huku mtee upuuzi wenu sasa.

Vv
 
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words
Uchumi wa waliochinjana miaka hiyo
ukilinganisha na wa kwetu nani yuko juu?
kuna wimbo unasema "woga wako ndo umasikini wako"
Binafsi sikubaliani na usemi wako,kwanini usiseme "wasiotaka kusimamia haki watasababisha tuchinjane?"
Kwa nini tunawaandama wale wanaoleta taarifa za uharifu? au na wewe dada ni mharifu?
Tunaitaka tanzania yenye haki,siyo kuvihonga vyombo vya habari na kuviziba midomo.
 
Je waliokamatwa wamemtaja muhusika ? maana hapa ndio kindende ,tutegemee polisi kututajia muhusika ?
 
Katika hili binafsi siwezi kumweka jaji Lubuva kwenye kashfa hii moja kwa moja
unless imethibitishwa kwamba anahusika,Tume ya uchaguzi ni kubwa
na watendaji wakiwemo wakurugenzi wakiamua kufanya wanachokifanya
huenda mwenyekiti asijue,hili nina uhakika nalo maana limenitokea.
na ndo maana Mgombea urais kupitia chama tawala
pamoja na kuitwa mchapa kazi na mwadilifu,kama watendaji chini yake ni mizigo
hataweza na ndo maana tunasema kibovu ni mfumo uliopo,tuubadilishe.

Tumeshuhudia mara nyingi wakuu wa nchi wanatoa taarifa,
na kwa heshima yao wahusika wanalalamika wakisema kiongozi amedanganywa
na hivyo kutoa taarifa isiyo sahihi.Ukifuatilia utakuta mkuu anafanyia kazi alicholetewa mezani.

Uthibitisho wangu ni Pale bungeni mh.Lema alimtuhumu waziri mkuu
akaambiwa alete ushahidi,toka Lema apeleke ushahidi hatukusikia suala hilo tena
Binafsi nikaamini kuwa waziri mkuu alidanganywa na watendaji chini yake
sasa hili la tume,Lubuva hawezi kupitia store kila siku kujua kama mashine zote zipo.
kama huko store wapo ukoo wa panya lazima wale mafaili.

CC: timu isiyounga mkono mabadiliko.
Huwezi kukata tawi la mti ungali umelikalia labda uwe na mpango wa kuvunjika.
Anayetaka kuiona tanzania tuitakayo aige mfano wa mzee Kingunge.
Na hapa ndipo kauli za kulinda kura zinazidi kupata nguvu.
 
Waliyo kamatwa walitakiwa kufanyiwa kitu ambacho kingeonyesha ushenzi wowote utakao fanya kwenye 25 kuwa itakuwa hivi ingakuwa sample nzuri sana kwa hao vibaka walitakiwa wakate pumzi mara moja kama ccm ilivyo kata pumzi !!!
Ccm kuweni makini mtaharibu na mlicho chuma msipo kuwa makini wa Tanzania tuna hazira na nyie kwa wizi mnao tufanyia mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom