Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Wanaume wa Dar tena!! Hivi mna nini nyie watu? Huyo aliyekuwa anaandikisha mkamwachia akaenda zake salama? Wacha tufungwe bao la mkono wagonjwa sisi!!
 
Nipashe imeandika
 

Attachments

  • DSC01189.jpg
    DSC01189.jpg
    40.3 KB · Views: 615
acha uchochezi...kama unao ushahidi kwanini usiweke hapa?
 
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words

Mwaka 1995 tulitishwa na upuuzi huu wa kuchinjana,umefika wakati wavivu wa kufikiri kama wewe muamke sio kila mara mlete mtazamo hasi kwenye mambo ya msingi.
 
Oooh CCM na NEC wanafanya kazi pamoja......
Ndio maana daftari halitoki
 
Jamani, Amani ni ghali kuliko kitu chochote. Napendekeza kuwa pamoja na kumchoka sana JK ni vema uchaguzi huu usifanyike mpaka kwanza tupate tume HURU na iandikishe wapiga kura upya na uchaguzi upangwe Disemba 2015.
Ushauri tuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Wanabodi salaam!!!

Leo gazeti la Nipashe limeripoti taarifa ya kukamatwa vifaa feki kama BVR vikitengeneza kadi feki za kupiga kura katika kiwanda cha kampuni ya MMI.

Tukio hilo limetokea jana, ambapo maafisa wa NEC na police walivamia kiwanda hicho na kukuta wafanyakazi wa kampuni hiyo wakitengeneza vitambulisho hivyo.

Habari hii ambayo ilizuiwa kuchapishwa na magazeti yote, lakini ni Gazeti la Nipashe pekee lililothubutu kuchapisha habari hii.

source: Nipashe
 

Attachments

  • 1444368960984.jpg
    1444368960984.jpg
    69.7 KB · Views: 358
Au lile Daftari waliandika kwa mkono maana ni muda sana umeenda
 
Back
Top Bottom