Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Kuna watu naona wanataka kupanda ndege bure waende ICC kwa hizi sarakasi zao...
 
Kwani hamjui kwmb vitu hvyo vinaendelea nchini...hy ndo mambo ya ccm
 
Kama habari hii ni ya ukweli,basi Tanzania itakuwa ndio nchi inayoongoza kwa kudidimiza demokrasia kwa njia ya goli la mkono!!Na ni dhahiri kuwa CCM inapumulia Masaburi sasa!!
 
Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.mtazua kila jambo mwaka huu

Mkuu usiwe mwepesi wa kubisha kila jambo!!!. Soma tulia, baada ya muda ukweli au uongo ukidhihiri utajua uko wapi wewe na nafsi yako. Usiliweke kila jambo upande unaofikiri wewe.
 
Kale kazee kalubuva kanajifanya kamesimama kwenye haki kumbe kanajua michongo yote katakuja kutuambia vizuri. Wenzake wanawafukuza kenyewe kapo kapo tu.
 
MASWALI
***********
HIZO BVR MASHINE ZIMEFIKAJE HUKO MAFICHONI?

**********************************

TUTAKUWA NA IMANI GANI SISI WATANZANIA JUU YA TUME HII??

***********************************

TUME HAIFAHAMU IDADI YA MASHINE ZAKE??

***********************************

TUME ITUPE MAJIBU YA KINA JUU YA UPUUZI HUU??


***********************************
************************************
ii

Unauliza jibu?? Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!! Kama hii tetesi ni kweli, nitaanza kuiamini ripoti ya PPRA.
 
Kwa hisani ya Nipashe
 

Attachments

  • 1444366036666.jpg
    1444366036666.jpg
    69.1 KB · Views: 810
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words
 
Victorie acha utoto ,watu wanapoka haki ya wapiga kura kwa kutengeneza vitambulisho fake vya kupigia kura kufanikisha goli la bafuni
 
Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.mtazua kila jambo mwaka huu
Mkuu, tafuta na soma gazeti la Nipashe ukurasa wa mbele wa la leo tarehe 09 Oktoba, 2015 halafu urudi kumwomba samahani JAYJAY
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom