Hivi umesoma magazeti ya leo..? Ni bora ungeuliza kuliko ulichoandika... Unaonekana kabisa huna taarifa ya jambo hilo and yet unabisha uwepo wake..
CC Susuviri
Mnaishi dunia gani nyie ambayo huwa hamsikilizi redio, hamsomi magazeti wala habari za mitandao ya jamii? Hiyo taarifa ya kukamatwa BVR feki ni ya polisi, na gazeti la Nipashe limeripoti.
Au mmeamua kubisha tu bila kufanya utafiti kidogo!
Uchochezi tu,vyombo vya habari vya Mengi ndo vitatusababisha tuchinjane kuanzia tarehe 25,mark my words
MMI Steel ni viwanda vya Subhash Patel ni Ndg yake JK