Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

BY Jay Jay na Abdul Moh'd
.......kuchukua alama za mikono,macho....

Hawa MM Steel lazima watakuwa wamevunja sheria za nchi na hata kanuni za POLISI. Mimi siyo mwanasheria lakini wanasheria wanaJF tupieni maoni yenu. Pia jeshi la POLISI lazima kuwabana hawa jamaa maana MM Steel wanajifanya wao ni sehemu ya taasisi za usalama kama mlivyowabana ''wana-mgambo wa Green/ Red guards/Brigades'' wa vyama vya siasa.

Maana alama za macho , mikono na taarifa za wafanyakazi wa MM Steel zinaweza kutumiwa vibaya wakati huu wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi.
 
Kuna habari kuwa BVR machines zimekamatwa maeneo ya Mwenge ITV karibu au ndani ya viwanda vya MM Steel vikiendelea na zoezi la kuandikisha wapiga kura.

Mwenye taarifa zaidi atujuze ilikuwaje.
===================================

Chanzo: NIPASHE
Ukawa mwaka huu mnastaafu siasa, hizo mbinu zenu zishajulikana siku nyingi
 

Attachments

  • Screenshot_2015-10-09-14-11-52.png
    Screenshot_2015-10-09-14-11-52.png
    15.1 KB · Views: 201
Aisee.?????? NEC Huu mchezo mnaiangamiza Tanzania yetu nzuri.Jamani,Madaraka kweli yasababishe tuchinjane? Mzee Judge Lubuva huwa nakupigia kinanda pale St.Peter's kwenye misa zetu,I served you in the Holy Requiem Mass of Your Beloved Wife,Please,take this seriously. Ni heri ujiuzulu kama unaona huna kauli tena ndani ya management ya NEC. Heshima yako kwa watanzania na Mbele ya Mungu wetu itaishi milele.
This thing is genuine BVR!
Huu ni mchezo wa CCM na Idara ya nyeti (corrupt and rotten system)
Mkuu ukisema hivyo unamaanisha kuwa NEC wanahusika? Huyu mwenye kitanda ni mfadhili wa EL au unajidai hujui?
 
Mkuu ukisema hivyo unamaanisha kuwa NEC wanahusika? Huyu mwenye kitanda ni mfadhili wa EL au unajidai hujui?
Unam-quote Almarhumu? au kweli hamkumuua? maana ccm ndo zenu hadi kumfisha baba wa watu ili kuficha wizi wenu?? dawa yenu inachemka.
 
picha kila kitu na polisi wamekamata bado unasema ni uchochozi wewe shanging utakua unajua kuuweka mpini mdomoni sana

Nina wasiwasi haka ni kajukuu ka kale ka bibi ka fedhea fox, ninaamini mjusi hazai mamba.Wanabadilishana mmoja akiwa BADOO , mwingine yuko huku.
 
Back
Top Bottom