Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili

Wakati mwingine ni vizuri ukamshawishi aulize yeye mwenyewe kuliko ukamuulizia. kama vile ambavyo huwezi kupimwa badala yake au huwezi tumia dawa badala yake, au huwezi pona badala yake.
 
Kama tatizo ni mara moja moja sana then Kuna dawa inaitwa Hydrogen Peroxide (take note ni ya kusukutua). Siku moja ama mbili wapona. Kama ni tatizo la mara kwa mara kamuone Doctor ni bora zaidi.
 
Tatizo hili Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili
Dr asante kwa ushauri wako mzuri na wa kina be blessed! Sasa hzo dawa ntazpataje! Also nlshaenda kuchek status yangu niko pouwa!

Hapo kwenye RED, mbona kauli hizi mbili zinatofautiana? Kuwa mkweli siku zote.
 
Tatizo hili Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili

Hapo kwenye RED, mbona kauli hizi mbili zinatofautiana? Kuwa mkweli siku zote.

Sijui kwanini watu wanasingizia sio wao hali ya kuwa hapa jamvini hatufahamiani. Au wenzangu wajuana labla?
 
si useme ni wewe tu jamani?kuugua ni kawaida.baadae sentensi zako,umejichanganya mwenyewe,inaonyesha ni wewe ila unamsingizia rafiki yako
 
NINA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA MDOMONI NA KWENYE KOO KWA ZAIDI YA MWEZI SASA, NIMEKWENDA HOSPITALI NIMEPEWA VIDONGE AINA YA AMOKSRINE NA AINA NYINGINE YA ANTIBAYOTIKI PIA NA DAWA YA MAJI YA MATONE LAKINI NAFUU NIMEIPATA KIDOGO. JE KUNA MWENYE UJUZI WA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA WENU WANA JF.:nod:
 
NINA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA MDOMONI NA KWENYE KOO KWA ZAIDI YA MWEZI SASA, NIMEKWENDA HOSPITALI NIMEPEWA VIDONGE AINA YA AMOKSRINE NA AINA NYINGINE YA ANTIBAYOTIKI PIA NA DAWA YA MAJI YA MATONE LAKINI NAFUU NIMEIPATA KIDOGO. JE KUNA MWENYE UJUZI WA TATIZO HILI NAOMBA MSAADA WENU WANA JF.:nod:
Pole kamanda.
Ngoja waje doctors wakusaidie!
 
Nashuku sana maana mimi kila napopata maleria inaandamana na vidonda na maranyingi napewa Ascobic acid. Nashukuru sana maana sasa natumia matunda na sitasubiri kuumwa
 
usiku baada ya kula na kabla ya kulala asukutue kinywa kwa maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi! matunda na mboga mboga ndo mpango mzima!
 
kama kuna upungufu wa vitamin mwilini..ni bora ule vuakula vyenye vitamin au virutubisho hivyo kuleka kupewa vidonge..
kwa hiyo ingwmsaidia zaidi kama atakuwa na utaratibu wa kula tropical fruits zenye ascorbic acid...chungwa,embe,nanasi, na kadhalika!
 
Wakuu tusaidiane sababu na tiba ya hii kitu...unaamka asubuh gafla unajikuta una viupele ving kwenye lips au pembezon mwa mdomo...je nifanyeje ili nisipatwe na hii ari?ahsanten
 
Vikijitokeza pembezon mwa mdomo...nikitaka kupiga mwayo napata maumivu makali...sina raha jaman!
 
Itakuwa ni malara maana mwenyewe nikiumwa nikienda kupima naambiwa malaria afu nikimeza tu dawa ndo vinanitoka kwenye lips
 
Hivyo vidonda vinaitwa "herpes febrilis" au "herpes labialis" au "cold sores". Vinatokana na virus aitwaye herpes simplex virus type 1. Huyu virus anam-infect mtu kwa mara ya kwanza wakati wa utoto halafu infection inapotea ingawa virus mwenyewe anaendelea kubaki mwilini. Mtu mwenye virus huyu akipata magonjwa yanayosababisha homa kama vile malaria, vijidonda vinatokea kwenye kona za midomo na vinauma sana. Ugonjwa ukipona na vijidonda navyo hupotea. Vinakuja kurudi tena iwapo mtu huyo atapata tena ugonjwa usababishao homa.

Havina dawa
 
Dr mawenzi ameeleza vizuri, hivyo kapime ujue ugonjwa unayo kuletea homa. Kwa kuwa umesema homa zaidi ni ya usiku, jaribu kuangalia Kama unatokwa ja Jason usiku....ambayo ni dalili ya typhoid. Kapime!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom