Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

Msaada naomba kujua nini kinasababisha mtu kutokwa na vidonda mdomoni anapokuwa anaumwa ugonjwa wa malaria au homa?
 
Wandugu,
Kama siku tatu zmepita nashangaa kuna kidonda kwenye mdomo wangu wa chini kilianza kama kipele cha homa ila baada ya kukauka vimetokeza vingine viwil vidogovidogo...ni vyekundu na vinasababisha mdomo kukauka pia kwa juu ni kama vimekauka na vinaonyesha kama damudamu imekaukia hapo! ni mara yangu ya kwanza kupatwa na kidonda kwenye mdomo, naomba watalaam mnisaidie husababishwa na nin!? dactari kanipa pain killer tu na kaniambia juujuu tu eti havina shida, bado nataka kujua chanzo chake!
 
wandugu, kama siku tatu zmepita nashangaa kuna kidonda kwenye mdomo wangu wa chini kilianza kama kipele cha homa ila baada ya kukauka vimetokeza vingine viwil vidogovidogo...ni vyekundu na vinasababisha mdomo kukauka pia kwa juu ni kama vimekauka na vinaonyesha kama damudamu imekaukia hapo! ni mara yangu ya kwanza kupatwa na kidonda kwenye mdomo, naomba watalaam mnisaidie husababishwa na nin!? dactari kanipa pain killer tu na kaniambia juujuu tu eti havina shida, bado nataka kujua chanzo chake!
Sasa ulitaka akutishe nini ndio upate kuamini? Dawa ya hivyo vidonda kwenye mdomo pakaa Asali safi ya nyuki vitapona.

asali.jpg
 
Habari wana jamvi,

mtoto alikuwa malaria kali, sasa hajambo, yupo safarini, anashindwa kula chakula maana mdomoni kuna vidonda, je dawa gani itamfaa, mtoto ana miaka mitatu.

Natanguliza shukrani
 
Habari wana jamvi,

mtoto alikuwa malaria kali, sasa hajambo, yupo safarini, anashindwa kula chakula maana mdomoni kuna vidonda, je dawa gani itamfaa, mtoto ana miaka mitatu.

Natanguliza shukrani
Mpakae mdomoni asali safi ya nyuki kila siku mtoto kwa muda wa siku 3 atapona hivyo vidonda Mrekebishaji
 
Last edited by a moderator:
Ninatatizo la kutokwa na vijidonda ndani ya mdomo ambavyo huuma sana na kuleta kero kubwa wakati nakula

Huanza kama kialama kidogo chekundu then hukua kidogo na kufanya kama usaha kwa ndani, hapa huwa kinauma sana sana

Hunitokea mara kwa mara na kupotea
Naomba ushauri wenu vinatatokana na nini ma tiba yake na kinga ni nini?
 
hili tatiso linamsumbua sana mke wangu lakini nilimpeleka hosipitali wakaniambia ilasababishwa na kuwa na ujauzito ila baada ya kujifungua vidonda vitapotea sasa sijui wewe una ujauzito au la?
 
Ngoja tusubiri wataalamu zaidi lakini nasikia ni ukosefu wa madini fulani ila sina hakika ni yapi
 
Ninatatizo la kutokwa na vijidonda ndani ya mdomo ambavyo huuma sana na kuleta kero kubwa wakati nakula

Huanza kama kialama kidogo chekundu then hukua kidogo na kufanya kama usaha kwa ndani, hapa huwa kinauma sana sana

Hunitokea mara kwa mara na kupotea
Naomba ushauri wenu vinatatokana na nini ma tiba yake na kinga ni nini?
mkuu hebu jaribu kubadilisha dawa ya meno unayoitumia, mi nilikuwa na tatizo kama hilo nilionana na dr. akaniambia ni hizi dawa za meno nyingi kama white dent, zinakuwa na madini mengi ya floraid, kweli akanishauri nitumie product za forever, kuulizia dawa ya meno tu naambiwa ni 10,000!!! nikajaribu kutumia ya alovela ile ya kijani ndani tena ni buku tu, hadi leo cjawahi viona tena hivyo vidonda, kuna siku nilisafiri ikabidi nitumie white dent bwana ndio nili confirm kuwa ndio ilikuwa chanzo. Hebu jaribu unaweza pata soln.
 
Ninatatizo la kutokwa na vijidonda ndani ya mdomo ambavyo huuma sana na kuleta kero kubwa wakati nakula

Huanza kama kialama kidogo chekundu then hukua kidogo na kufanya kama usaha kwa ndani, hapa huwa kinauma sana sana

Hunitokea mara kwa mara na kupotea
Naomba ushauri wenu vinatatokana na nini ma tiba yake na kinga ni nini?
Nenda Hospitali kamuone Daktari akupime huenda una upungufu wa vitamin c mwilini mwako. Ukiwa bado hujapona nione mimi nitakupa dawa ukitaka kuniona mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom