Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
........Pole sana kwa hili tatizo ndugu.
Kama vidonda karibu na lips au mdomoni kwa kitaalam vinaitwa cold sores au fever blisters ni matokeo ya herpes simplex type 1 virus. Inawezekana immune system yako ipo weak, kwa matibabu mazuri inabidi ukamuone daktari.
Kuna type 2 herpes virus (HSV2) hii sasa ni sexual transmitted diseases, lakini sidhani kama unayo hii.
Vile vile unaweza kufanya natural remedies kama unayo hiyo cold sores,chukua ice weka hapo kwenye vidonda kwa muda wa dakika kadhaa rudia rudia mara kadhaa kwa siku.
Kula matunda na mboga za majani kwa wingi maana zina vitamins na madini kama iron na zinc ambazo zinaweza kujenga immune yako system kuwa nzuri.