Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

Discussion in 'JF Doctor' started by Mhafidhina, Feb 22, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii naombeni msaada wenu...!

  Eti ni nini chanzo au kitu kinachosababisha mtu kutokwa na vidonda pembeni ya mdomo! KUna baadhi ya watu huwa wanasema inatokana na labda homa/maleria ndio inakua inatoka mwilini wengine wanahusisha vidonda hivyo na mambo ya zinaa pamoja na mambo mengine chungu nzima!

  Ninaombeni msaada wenu ili nipate kujua kwani kuna jamaa yangu vina mtokea mara kwa mara! So nikaona wacha nililete hapa hili suala ili nipate utaalamu wenu kuhuu chanzo cha hivo vidonda na tiba yake!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Feb 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni herpes...
   
 3. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hivyo vidonda vipo pia katika sehemu zingine kama ulimi,midomo,ndani ya cheeks,na fizi?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  This. There is also no cure. But you can reduce the symptoms, with some creams.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,194
  Trophy Points: 280
  Mwambie ale matunda na mboga za majani.
   
 6. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Vidonda pembeni ya mdomo vyaweza kusababishwa na vitu vingi. Ili kujua nini chanzo specifically kwa huyo jamaa yako haina budi kukaa chini na mtaalam amweleze historia nzima (history taking), kisha mtaalam ataviangalia hivyo vidonda (physical exam) na pengine aweza hata kufanya baadhi ya vipimo (kama lab investigations) kujua chanzo.
  Wachangiaji waliotangulia wanaweza kuwa sahihi kuwa baadhi ya sababu za vidonda kama hivyo ni pamoja na virusi (eg. herpes simplex) na fungus (eg. candida - oral thrush). Lakini kuna vitu vingine chungu nzima kama upungufu wa madini mwilini (eg. iron) ama vitamin (eg. folic acid).
  Kwa vidonda vya herpes ni kwamba unakuwa na virusi vimekaa dormant mwilini, ukipata upungufu wa kinga mwilini (sio lazima HIV) hata kama ni kwa malaria ama stress vile virusi vinakuwa active na kusababisha vidonda hivyo- usually inapona vyenyewe mpaka upate stress tena.
  Nini cha kufanya; muone mtaalam wa afya akijua sababu atakutibu inavyotakiwa; ukila majani na matunda tu ama kutumia petrolleum jelly tu utakuwa hujitendei haki.

  Kila la kheir.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Mar 1, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Heheheheee...najua vidonda ni profession yako....
   
 8. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  How do I cure a sore mouth? I dont know what is the medical word for this but hii week nime experience vidonda karibu na my lips.. not inside. what causes this? is it kinda of infection? how do I cure this?


  Thanks
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Do you fancy oral sexy? Tuanzie hapo
   
 10. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  No Man I dont :rolleyes: am serious..
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tumia Vitamin B 2, ama kwa jina lingine Vitamin B complex
   
 12. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kitaalam tunaita stomatitis,there so many causesof stomatitis.Kama hilo tatizo linakusumbua sana nenda hospital kamuone stomatologist(Daktari wa kinywa na magonjwa yanayohusiana na kinywa)
   
 13. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mkuu,vitamin B 2 SIYO Vitamin B complex.Vitamin B 2 is a component of vitamin B complex.
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ukienda hosp usisahau kupima na magonjwa makubwa, ok?
   
 15. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #15
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  asante kwa ufafanuzi na elimu mwanana , ila daktari alienitibu mimi tatizo kama hilo , aliniaminisha hivyo, maana alisema ikiwa utapata Vitamin B 2 ama Vitamin B complex tatizo langu litakuwa limeisha.
  ila nilinunua B complex na tatizo likaisha kabisa na mpaka leo ugonjwa huo ni historia.
   
 16. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nafikiri ndg yangu utakuwa na stress fulani...pengine familia au maisha yetu ya kibongo! Well cha kufanya hebu tafuta dawa hii "BUNGELA PAINT" sina hakika na spelling ila ukifika pharmacy watajie watajua tu! Pharmacy kubwa plz sio duka za dawa baridi eeh?
   
 17. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thank u man ur advice is highly appreciated...
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Inaweza kuwa stress mhhh...u could be right... But i am not in Tanzania so i guess i cant get that name here but i appreciate ur input...
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Now u sounds like a really doc... This problem just started _3 or 4 days back i wanted a quick solution... But if it get serious i will take ur advice to c a doc... Thanks doc
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe nae umeanza kuniharibia siku bwana.... Hakuna bana am clean....
   
Loading...