King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,145
- 98,567
Awamu ya 5 ilijaa wahalifu.
Acha upumbavu, huwezi kumuita mkuu wa nchi shetani
Huyu inapaswa akamatwe aseme ikulu gani Ina shetani.
Mpuuzi sana huyu mjinga wa mwisho
Mwingira amewaingia mataga maungoni kweri-kweri.
Mrudishe Makonda ghetto kwako aje akuhudumie naona una mahaba naye.Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Kipindi cha Nyerere watu walitaka kupindua nchi kabisa sio maneno tu, tena sio mara moja.Jibu hoja, kwanini haya matamko yanakuwa hayapo enzi za mkapa, jpm au kambarage?
Ukishaona mtumishi wa Mungu anakosa tunda la uvumilivu andika maumivu...Kwa matunda yao mtawatambua!Mwingira ni kama Lisu tu debe tupu kila siku kubwabwaja tu
Enzi za utumwa Mfalme akifa alizikwa pamoja na kijakazi wake aliye hai , sasa unaonaje kama tukifukua kaburi ili tukuzike karibu yake ili ukaimbe pambio vizuri ?Nimemsi sanaaaa rafiki yangu shujaaa na mzalendo wa kweli jiwe ! Raisi bora kuwahi kutokea tangu tumepata uhuru
Huyo wamuweke ndani,wamnyime mlo kwa siku 3,ya nne wampe mlo mmojammoja Hadi mwezi,wamtoeVipi kuhusu hoja zake za leo ?
Halafu Hawa wanaojiita maaskofu Rais akiwa Mkristo na madudu huwa wanaufyata kimya kabisa licha ya mateso na watu kupotea, akija Rais mwislamu aisee huwa wanatoa matamko mengi tena yaliyojaa chuki bila uhalisia Ili Rais ateleze wasingizie dini yake, ningekuwa Rais nawanyoosha kwa kweli, Hawa ndio hufanya Ma Rais wadharauliwe vile ni wavumilivuHotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.
Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.
Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
[emoji23][emoji23][emoji23]enzi za Magufuli watu walikuwa hawakohoi kabisa aisee, mama asiwachekee watu wanaotaka kumharibia uongozi wake nchi hii Watanzania hawanaga jema tena ukiwa fair wanaweza kukunyea kichwaniEnzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Apate dozi ya dk ulimbokaLazima wafuga majini wakemewe usiku na mchana.
Sasa huyo chuma mwenyewe yuko wapi ?[emoji23][emoji23][emoji23]enzi za Magufuli watu walikuwa hawakohoi kabisa aisee, mama asiwachekee watu wanaotaka kumharibia uongozi wake nchi hii Watanzania hawanaga jema tena ukiwa fair wanaweza kukunyea kichwani
Watoto wa Shetani mpo?Mabavicha kila siku huwa wanarushiwa fupa la kuhangaika nalo
JF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai haki tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika atuwekee tafadhali .
Kufa sio adhabu kila nafsi itaonja mauti aisee so kifo tumeumbiwaSasa huyo chuma mwenyewe yuko wapi ?