Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Sasa huyo chuma mwenyewe yuko wapi ?
Issue sio kufa mzee hata huyo Lisu au Mwingira kufanya lazima mzee usichekelee kufa hata mimi na wewe tutakufa! Huyo Mwingira anayejidai babawa kidogo wa wachungaji huku akitaka ionekane mtakatifu hapo kachemka bora asingemhusisha Rais Samia!
 
N
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Nimependa ulivyojiweka wazi kuwa unafanana na aliyepita. Mko nyuma miaka 100 hivi
 
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Leo yupo wap??
 
Tatizo lako hata humjui "AMALEKI" wa nchi ni nani...

Ndugu, USHETANI siyo MTU kwa umbo na sura yake...

SHETANI na USHETANI wa mtu hata kama ni Rais hujidhihirisha shahiri dhahiri ktk matendo yake ya kila siku, kila wakati...

Hata wewe tunaweza kuku - define kama ni SHETANI au mtu kwa matendo yako na kamwe siyo kwa sura, umbo, mwonekano au jina lako...!!!

FACTS CHECKS ZA USHETANI WAO:

1. Kwa siyo kweli kuwa SERIKALI CHINI YA MAGUFULI waliingia madarakani kwa kuiba kura ktk uchaguzi mkuu wa 2020?

USHETANI na ni SHETANI huyo!!!

2. Kwani siyo kweli kuwa katika utawala wa Hayati Magufuli serikali yake iliteka, kuua na kupoteza watu mpaka leo?

USHETANI na ni SHETANI huyo!!!

3. Kwani siyo kweli kuwa, aliibia watu hususani wafanyabiashara wenye mlengo tofauti wa kisiasa na yeye fedha kwenye bank accounts zao kwa kisingizio cha ufisadi bila kuthibitishwa na mahakama chombo cha kisheria ?

USHETANI na ni SHETANI huyo!!!

4. Kwani siyo kweli kuwa Rais Mahufuli (Mwendazake) na huyu mwanamama akiendeleza hakuongoza nchi hii kwa kuvunja sheria na katiba kwa hofu ya kuondolewa madarakani?

USHETANI na ni SHETANI huyo!!

NB: Hey! Mr/Mrs/Miss Countrywide need we say more...?
Imeisha hyo.
 
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Hii nayo hoja ? We bogus
 
Acha kuwasingizia watu uongo. Yaani akina kikwete nao unaita wana hekima? Waliomteka dr.ulimboka Mungu akamwokoa,waliomwua mwangosi,kamanda baro,walioleta madawa ya kulevya nchini na kufisadi mamilion?utawala uliokuwa umekuja na zindiko la albinos? Mtikila unamfahamu wewe? Unafahamu alishinda kesi ngapi? Acheni masikhara kabisa na haya mambo. Mnaleta udini wa kipumbavu katika mambo ya msingi. Maisha yamekuwa magumu kwa sasa watu wanaiba waibavyo bei ya vitu inapanda,rais anatalii tu duniani...amewekwa mfukoni na mabeberu...
 
Swali lako halina mantiki. Unaonaje ukaleta usahihi kwa nini asiitwe shetani?

Kuna wakati mwingine weka fani yako pembeni and let us face the truth.

Bush aliitwa shetani ktk kikao cha UN. Hata Yesu mwenyewe aliitwa Beelzebul yaani mkuu wa maahetani. Sembuse huyo umuitaye mkuu
...kwa hiyo hata yule mwamba wa ugaidi naye ni shetani!
 
Rais SSH hawezi kurithi maadui wa JPM - aanze upya kuitengeneza nchi, kuunganisha watanzania, na kuifanya Tanzania1 kuwa kisiwa cha Uhuru, Demokrasia, na nknk
 
Rais SSH hawezi kurithi maadui wa JPM - aanze upya kuitengeneza nchi, kuunganisha watanzania, na kuifanya Tanzania1 kuwa kisiwa cha Uhuru, Demokrasia, na nknk
Uko sewa kabisa ila ajitahidi apekue kile vyimba kwenye ikulu amkane na amtoe huyo shetani yote yatawezekana
 
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Mwanangu hapa kwa mawazo yako wewe hutakiwi hata kupewa cheo cha ujumbe wa nyumba 10.
 
Back
Top Bottom