Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Huwezi kumuita raisi wa nchi shetani. Eti ikulu Ina shetani
Huyu amerogwa sio bure
kibaraka wenu huyu amemuita JUMONG 😂 😂 😂
1640598142081.png
 
Wizi wa kura kwa ccm ni kama maasai walivyokuwa wakiamini kwamba ng'ombe wote duniani ni mali yao hivyo wizi wa ng'ombe ikawa ni fahari badala ya kuwa uhalifu.
CCM wanaiba kura/mchakato wa uchaguzi,wanajitangaza kushinda na kushereheka kwa miaka mitano kila mara na kujidanganya kwamba ni wao pekee ndio wazalendo!
Bila Katiba ya wananchi Watanzania tusitarajie kuwa Huru kamwe.
"Mwaka Jana waliiba kura wakajitangaza wameshinda kwa 80% na zaid hawataenda mbinguni na hata kama na wewe upo kwenye hicho chama huendi mbinguni kwakua na wewe ni mwizi" Askofu Josephat Mwingira
 
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Ndiye aliyeiba kura au??
 
"Mwaka Jana waliiba kura wakajitangaza wameshinda kwa 80% na zaid hawataenda mbinguni na hata kama na wewe upo kwenye hicho chama huendi mbinguni kwakua na wewe ni mwizi" Askofu Josephat Mwingira
Kama moto wa ahera ni kuwa mwanaccm basi nitakuwa nimeokoka maana sijawahi na sitegemei kuwemo.
Mimi na kijani mbalimbali ndugu.
 
Back
Top Bottom