Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta,,
Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke,,,
Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Mtu anayedhani anakosolewa kwa dini yake hana tofauti na muuaji.Una akili za mbuzi,nenda kaishi Iran au Somalia
 
nini maana ya shetani ?
 
Mtu anayedhani anakosolewa kwa dini yake hana tofauti na muuaji.Una akili za mbuzi,nenda kaishi Iran au Somalia
Jibu hoja, kwanini haya matamko yanakuwa hayapo enzi za mkapa, jpm au kambarage?
 
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Nyie ndio mnaamini katika kutendea wengine maovu na matumizi mabaya ya mamlaka. Himaya Ile ya chatu haipo tena. Hivyo Mungu ni mwema kila wakati.
 
Shida ni vitendo afanye mwingine, lawama apewe mwingine,, wakati tuko kwenye healing process, ilitakiwa hekima tu iwasukume hawa watu kuepukana na lugha za maudhi na za kimhemko, lakini wapi... [emoji1745]
 
Sasa wasinyimwe watu kusema panapovuja ili pazibwe, ikitendwa haki wote tutaungana kipongeza na sii wengine kitetea watenda maovu.
 
Hii hapa

Naomba ikiwekwa ifutwe na muwekaji ale bann naona mnataka Mkuu wetu melo akapigwe tena faini kipindi hiko mpo kwenu mnavimbiwa Kande unajua imetolewa sababu gani?
 
Acha upumbavu, huwezi kumuita mkuu wa nchi shetani
Huyu inapaswa akamatwe aseme ikulu gani Ina shetani.
Mpuuzi sana huyu mjinga wa mwisho
Countrywide wewe ndio kichaa mjinga wa mwishon ikulu ni meno la wahehe lenye maana mahali pakuu yeyote aweza kulitumia hata kwangu ni ikulu yangu sass hapo katukanwa nani? Kisheria wewe ni poyoyo
 
Sasa wasinyimwe watu kusema panapovuja ili pazibwe, ikitendwa haki wote tutaungana kipongeza na sii wengine kitetea watenda maovu.
Jk aliwapa haki zote lakini alipata shukrani gani zaidi ya matusi?, Sasa subiri awamu ya sita ipite, tuwawekee mwigulu, tuone kama mtatukana kama mbavyofanya sasa,, mtanyoroshwa[emoji23][emoji23]
 
Jk aliwapa haki zote lakini alipata shukrani gani zaidi ya matusi?, Sasa subiri awamu ya sita ipite, tuwawekee mwigulu, tuone kama mtatukana kama mbavyofanya sasa,, mtanyoroshwa
emoji23.png
emoji23.png
Watuttutu
Jk aliwapa haki zote lakini alipata shukrani gani zaidi ya matusi?, Sasa subiri awamu ya sita ipite, tuwawekee mwigulu, tuone kama mtatukana kama mbavyofanya sasa,, mtanyoroshwa[emoji23][emoji23]
Watu wenye tabia ya kutofuata Sheria na katiba yetu hawatufai kama viongozi wetu, tumeshajifunza kama taifa tulipotoka na chatu empire.
 
Back
Top Bottom