Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Huyu Mhubiri al
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma

Hili hata JK lilimkuta, manyaraka kila kukicha, JK akataka kuanza kuzinyima ruzuku taasisi za kidini moto ukawaka, akataka zijengwe hospitali za serikali kila mkoa na zile za kidini zisipewe tena ruzuku, hahahaha moto uliwaka balaa na JK aliyumbishwa balaa...

Naona wameanza tena kwa Mama, aende nao taratibu...Ukiwauliza mbona Chuma mlimkalia kimya hawana majibu...
 
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Kamfufue!
 
Kwahiyo turuhusu matusi kwa mamlaka?, lakini sawa kama demokrasia inataka hivyo,, swali,, mbona kipindi cha mkapa au jpm hawakutukana?
Mbona matamko hayakuepo?
Mkuu Hawa watu waajabu kweli. Wanawachukulia poa Marais waislamu. Mwinyi alikuta watu wanavaa viraka wala hawajui dunia inaendaje . Akaruhusu watu wawe huru . Wakamtukana eti anashauriwa na mkewake. Mama Samia kakuta watu wanaogopa mpaka vivuli vyao kwa woga .Leo wanamuita shetani .
 
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Atafutwe yule jamaa aliempiga Risasi Ponda akamshughulie na huyu
 
Ameitwa ibilisi...anyway tufanye ameitwa shetani kama ulivyoandika...

Lakini aliyeitwa ibilisi hapo, condition ni kuwa awe kwanza kaiba kura, ndio anapata title ya ibilisi

Je aliyepo ikulu kuna kura kaiba?
Samia suluhu hassan aliwahi kusema hata msipoipa kura liccm lazima waunde serikali, sasa hii kauli inaweza kutolewa na binadamu kweli ?
 
Wizi wa kura kwa ccm ni kama maasai walivyokuwa wakiamini kwamba ng'ombe wote duniani ni mali yao hivyo wizi wa ng'ombe ikawa ni fahari badala ya kuwa uhalifu.
CCM wanaiba kura/mchakato wa uchaguzi,wanajitangaza kushinda na kushereheka kwa miaka mitano kila mara na kujidanganya kwamba ni wao pekee ndio wazalendo!
Bila Katiba ya wananchi Watanzania tusitarajie kuwa Huru kamwe.
 
Back
Top Bottom