Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

CCTV Crime News

View attachment 2951527

Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.

View attachment 2951544
................

Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.

View attachment 2951517
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu

View attachment 2951556
.....
Hili hapa pigo la kwanza, askari alipigwa risasi ya kifua, bahati nzuri askari alikua amevalia bulletproof ya kuzuia risasi, hivyo haikumpiga

View attachment 2951561
....
Pigo la pili, askari alirudisha mapigo na kumpiga jambazi sehemu ya kifua.

View attachment 2951574
................
Baada ya jambazi kupigwa ya kifua akainama kisha akapigwa nyingine ya shingo

View attachment 2951596
........
Jambazi kipindi anapiga alikua akimsogelea askari, ndipo askari akainama chini ya meza ili afanye counter kumzungukia kwa nyuma, lakini jambazi lilisogea hadi usawa wa meza na likampiga askari risasi ya uti wa mgongo ili kumpa-paralysis. Ambapo hata hivyo haikumpata ila ilimchubua mkono wa kushoto.

View attachment 2951627

Jambazi alifia mlangoni kwa kuvuja damu shingoni. Baada ya jambazi kudondoka utawaona wahudumu wa benk wakikimbilia ndani na mlinzi akirudi ulingoni. Kwa hivyo Hakufa wala kujeruhika mtu, ispokua mlinzi ilimchuna mkono wa kushoto.
....
Jambazi alifanikiwa kukwepa hatua za usalama za benki kwa kutumia sahani ya chuma kwenye mguu wake kama mlemavu wa mguu wa kushoto ili kuweza kuingia ndani na bunduki bila kulazimika kupitia mlango mkuu wa ukaguzi.
Mbona ni kama kuna mahali niliwahi iona na haikuwa ni ujambazi benki??
 
Tunaomini kwenye MUNGU tunajua process ya kutolewa roho imeambatana na maumivu makali sana, na ndo hupelekea hata mtu kutokwa na haja kubwa.
Duhhh tabu zote hizo kisa katunda kamoja tu pale Eden? Au kuna kosa jingine Adam na Eva walifanya?

Mwanadamu anazaliwa kwa tabu, anaishi kwa tabu maisha yake yote, bado anakufa kwa tabu sana! Haya bhana ngoja tuufyate maana tunakatazwa ku doubt na kuhoji maandiko.
 
Nimetazama movement za askari nikagundua yafuatayo:

1. Alikuwa na silaha (pistol) aina ya revolver hivyo aliishiwa risasi mapema.

2. Revolver inaonekana kuwa .375 magnum kwa sababu risasi ilivyompata muhalifu ilimpeleka hadi ukutani.

3. Askari haukuwa na skills za counter attack kwani baada ya muhalifu kuyumba kwa risasi alitakiwa kufyatua risasi kadhaa hadi muhalifu awe incapacitated badala yake akachupa kutafuta cover.

3. Askari asingekuwa hizo body soft armor angekuwa marehemu kwa uzembe.
 
CCTV Crime News

View attachment 2951527

Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.

View attachment 2951544
................

Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.

View attachment 2951517
....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu

View attachment 2951556
.....
Hili hapa pigo la kwanza, askari alipigwa risasi ya kifua, bahati nzuri askari alikua amevalia bulletproof ya kuzuia risasi, hivyo haikumpiga

View attachment 2951561
....
Pigo la pili, askari alirudisha mapigo na kumpiga jambazi sehemu ya kifua.

View attachment 2951574
................
Baada ya jambazi kupigwa ya kifua akainama kisha akapigwa nyingine ya shingo

View attachment 2951596
........
Jambazi kipindi anapiga alikua akimsogelea askari, ndipo askari akainama chini ya meza ili afanye counter kumzungukia kwa nyuma, lakini jambazi lilisogea hadi usawa wa meza na likampiga askari risasi ya uti wa mgongo ili kumpa-paralysis. Ambapo hata hivyo haikumpata ila ilimchubua mkono wa kushoto.

View attachment 2951627

Jambazi alifia mlangoni kwa kuvuja damu shingoni. Baada ya jambazi kudondoka utawaona wahudumu wa benk wakikimbilia ndani na mlinzi akirudi ulingoni. Kwa hivyo Hakufa wala kujeruhika mtu, ispokua mlinzi ilimchuna mkono wa kushoto.
....
Jambazi alifanikiwa kukwepa hatua za usalama za benki kwa kutumia sahani ya chuma kwenye mguu wake kama mlemavu wa mguu wa kushoto ili kuweza kuingia ndani na bunduki bila kulazimika kupitia mlango mkuu wa ukaguzi.
Uhalifu haulipi.
 
Sema askari alikuwa na bastola, angekuwa na mjegejo ilikuwa ni kumimina tu.

Hio risasi shingoni ilipasua artery, jamaa damu inaruka kama bomba.
Ni jambo la kusikitisha sana mtu anapokufa akiwa katika harakati za kufanya dhambi, na hajapata hata nafasi ya kutubu ili afe katika Bwana. Ufunuo 14:13 inasema: Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Ukifa, matendo yale uliyokuwa nayo kabla ya kufa, ambayo haukuyatubia, utaenda nayo, meaning, ndio utaenda kuhukumiwa nayo. Imagine mfano, hapo ameishi miaka mingi yenye opportunity ya kumrudia Mungu, hajatumia opportunity hizo, akaja kufa kibudu tuhivyo.

tumeshuhudia pia watu wengi wakifa guest house wakati wakifanya uzinzi, wengine wanauana wakigombea mwanamke, wengine wanakufa na ajali wakitokea kwa hawara, wengine wanakufa wakitoka kwa mganga wa kienyeji, wengine wametumia utajiri wa ndagu na shetani anakuja kuwavuna kabla hata hawajaacha uchawi wakarudi kwa Mungu. hao wote ni moja kwa moja motoni, sawasawa na wewe unayejifanya mkaidi, hujui utakufa lini ndugu, maisha hayo uliyo nayo ni opportunity Mungu amekupa ili pengine ubadilishe maisha yako, tengeneza na Mungu wako, nafasi hizo inaweza isiwepo.

msiwasikilize mapadre na wachungaji wanaowaaminisha kwamba hata msipookoka, mkifa wataziombea maiti zenu zikasamehewa huko huko mliko, ndio maana huwa mnaombea wafu, mnaombea wazazi wenu waliokufa, mnafikiri watasamehewa, Noo, wameenda na matendo yao kwenda kuhukumiwa huko, baada ya kifo ni hukumu, hakuna kutubu au kusamehewa tena. wengi wanang'ang'ania hadi dini zenye mapokeo ya kishetani wakiogopa kuwa wakiondoka huko wasije kukosa mtu wa kuwaombea wakifa ili wasamehewe, ingelikuwa hivyo ndio ukweli, Biblia isingesema mtu ataenda na matendo yake, na kutubu kusingehubiriwa kwasababu kuna haja gani kutubu wakati ukifa kungekuwa na nafasi ya ndugu zako kukuombea ukasamehewa baada ya kufa? hivi mnanielewa kweli katika hili? mapokeo ya dini yamekuja kuwajaza shingo ngumu na upofu ili msiokoke kabisa, kwa kigezo kwamba mkifa wao ndio wameshikilia uzima wenu wa milele, wawataombea msamehewe mikiwa maiti: kweli? hata Yesu alipoeleza mfano wa tajiri na lazaro, alisema kama hawatawasikiliza waliko hukohuko duniani....basi tena.

msidanganywe, shetani wa dini zenu ni mwongo sana, msibahatishe maisha, msifanye betting kwenye maisha yenu, msije enda motoni siku ile mkaona haya tunayaongea yalikuwa ni ya kweli kweli, tengenezeni mambo yenu na Mungu, ili muwe tayari. Mungu asawaidie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom