MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,580
- 30,030
Du!Siwashangai manake hata Diamond washasema kuwa ni mkenya
View attachment 326132
Imebidi nicheke tu
Du!Siwashangai manake hata Diamond washasema kuwa ni mkenya
View attachment 326132
Ni juu ya anayeambiwa kupambanua kama anambiwa ukweli au anadanganywa. Katika biashara tunasema kila mara mnunuaji awe mwangalifu anapokuwa na muuzaji 'caveat emptor'. Ndiyo maana kuna bidhaa feki nyingi tu, siyo wakenya peke yao ni tatizo la dunia nzima. Ni jukumu la watalii kujinasua mikononi mwa wauza counterfeit product. Kenya ni counterfeit product ya Olduvai gorge Tanzania ni original product, go for original one. Hakuna sababu ya kuwachukia Wakenya ni tabia wafanyabiashara wote duniani, muhimu ni kujua namna ya kuwakabili. Inawezekana pia kuwa wana malengo ya muda mfupi, watalii watakapojua Olduvai iko Tanzania Wakenya watakuwa wameshafanya biashara kwa malengo ya muda mfupiThis is a serious issue. Ni lazima Balozi wa kenya Tanzania awe summoned atueleze lini olduvai imekuwa huko kenya. Now I can appreciate what Uhuru Kenyatta said recently about his own people.
Nawe acha kusema uongo kama huyo binti wa kenya ambaye hata jiografia ya nchi yake haijui. Dkt mahiga hajawahi kuwa Balozi uganda[/QUOTE][QUOTE="MKWEPA KODI, post: 15428937, member: 341ambayea nduli idd amin alianza hivyohivyo, wakati huo mahiga alikuwa balozi wetu Uganda, sasa mahiga ni waziri wa mambo ya nje hebu tusubiri
Samahani. Unafahamu hii speech huyu dada aliitolea wapi. I mean hapo ilikuwa wapi? Nimejaribu kulitafuta hilo jina la tabitha Gilbert aliyepost kwenye Facebook lkn nimekutana watu wengi kweli wenye jina hilo nikashindwa kujua who is who. Lengo langu ilikuwa ni kumpata huyu dada nimuhoji kwa nini anadanganya hadharani kiasi hiki bila uoga wala aibu. Pia nilitaka kujua hapo alipotoa hiyo hotuba palikua ni wapi na waandaaji kina nani ili niwaandikie email kuwataarifu kwamba huyo dada aliongea uongo kwa makusudi. Lakini nimeshindwa kuwapata.
uzuri anawajua raia wake kuwa wanatabu na tamaaRaisi wao akiwa Israeli kasema Wakenya ni wezi,watu wakabila na wachawi
Hio fuvu nahsi ni ya adamu iliyogundulika hapo olduvaiMIMI NINANYO JUA BINADAMU WA KWANZA NI ADAM NA MAMA YETU HAWA ...
Hawa jamaa wezi hawafai ,Watakuwa wameshaiba Olduvai Gorge.Raisi wao akiwa Israeli kasema Wakenya ni wezi,watu wakabila na wachawi
Hawa jamaa ni wezi watakuwa mwamemuiba uwaziri wake!Kuna Mzungu mmoja juzi kaniambia eti akiwa kwao Ulaya alikutana na Mkenya mmoja akamwambia eti Magufuli ni waziri wao wa kazi kwao Kenya!