Hiyohiyo rosemary odinga. Binafsi nimeshamuuliza toka jana. Hajajibu badoebu tupe username yake facebook tumuulize maswali magumu
Hiyohiyo rosemary odinga. Binafsi nimeshamuuliza toka jana. Hajajibu badoebu tupe username yake facebook tumuulize maswali magumu
Did you listen her to her conclusion? Or you just listened the first two words and quit?Em jaribuni kumuelewa aliposema " up until then, i've had been taught"
Hiyo sentesi kwa nilivyomuelewa, ni kwamba wamekua wakiaminishwa hivyo, "until then" ndo sasa wamejua si kweli.
Tuwape na Lowassa watusaidie awe kenyaHaya Zanzibar ipo Kenya,Mt Kilimanjaro ipo Kenya,saadan ipo Kenya,kila vitu vizuri vya Tanzania vipo Kenya.
Piga manyang'au hayo!Tume wavumilia sana hawa watu
Pambafffff sana huyoHatimaye nimefanikiwa kumpata huyu dada. Na roho yangu imetulia maana nimeshamtwanga swali nililotaka kumtwanga. Nimemuuliza pia ule ulikua ni mkutano gani Na ulifanyikia wapi. Kumbe ni Rosemary Odinga mtoto wa Raila Odinga.
View attachment 326084 View attachment 326087
Huelewi kitu kimoja. Watakwenda lakini watapitia Kenya. Hivyo Kenya itakua imeingiza fedha za kigeni kwa kiasi fulani kwa mgongo wa Tanzania. Tour companies zinanufaika za Kenya sababu wao ndio watakaowaleta olduvai gorge. Jiulize kwanini watangaze Hivyo. Ni kwamba hiyo inawaingizia sana hela za kigeniMimi nampa hongera sana huyu dada kwa kuitangaza Oldvai Gorge. Hivi kwa nini bado tuna mentality za kikoloni? Hii mipaka ya kutenganisha Kenya na Tanganyika iliwekwa na Mungu?
Naona fahari sana huyu dada kujivunia kwamba Oldvai Gorge ipo Kenya na naomba Wakenya wote wafanye hivyo kifua mbele.
Watanzania tumelala. Wengi wetu hatuna confidence ya kuzungumza kwa kujiamini kama huyu dada alivyofanya. Ameitangaza Oldvai Gorge dunia nzima na kujivunia kwamba mwanzo wa binadamu ni kutoka Oldvai Gorge hivyo kila mtu ni Mkenya. Nimeipenda sana hiyo kauli yake ya kujiamini.
Sasa hao watakaoshawishika kutembelea Oldvai baada ya kumsikiliza huyu dada si wataenda Oldvai Gorge?
Oldupai/Olduvai Gorge ina julikana sana ila kwa nyie ambao hamkusoma human evolution mtamsifia huyo mpuuzi Rosemary Odinga kwamba ameitangaza. Olduvai imeshajitangaza yenyewe. Hakuna cha kumsifia dada huyo ila tu ni kumhurumia kwa ujinga wakeMimi nampa hongera sana huyu dada kwa kuitangaza Oldvai Gorge. Hivi kwa nini bado tuna mentality za kikoloni? Hii mipaka ya kutenganisha Kenya na Tanganyika iliwekwa na Mungu?
Naona fahari sana huyu dada kujivunia kwamba Oldvai Gorge ipo Kenya na naomba Wakenya wote wafanye hivyo kifua mbele.
Watanzania tumelala. Wengi wetu hatuna confidence ya kuzungumza kwa kujiamini kama huyu dada alivyofanya. Ameitangaza Oldvai Gorge dunia nzima na kujivunia kwamba mwanzo wa binadamu ni kutoka Oldvai Gorge hivyo kila mtu ni Mkenya. Nimeipenda sana hiyo kauli yake ya kujiamini.
Sasa hao watakaoshawishika kutembelea Oldvai baada ya kumsikiliza huyu dada si wataenda Oldvai Gorge?
Oldupai/Olduvai Gorge ina julikana sana ila kwa nyie ambao hamkusoma human evolution mtamsifia huyo mpuuzi Rosemary Odinga kwamba ameitangaza. Olduvai imeshajitangaza yenyewe. Hakuna cha kumsifia dada huyo ila tu ni kumhurumia kwa ujinga wake
Huelewi kitu kimoja. Watakwenda lakini watapitia Kenya. Hivyo Kenya itakua imeingiza fedha za kigeni kwa kiasi fulani kwa mgongo wa Tanzania. Tour companies zinanufaika za Kenya sababu wao ndio watakaowaleta olduvai gorge. Jiulize kwanini watangaze Hivyo. Ni kwamba hiyo inawaingizia sana hela za kigeni