VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

Labda na wao wana Olduvai Gorge yao tofauti na ya hapa nchini kwetu, tusiwabishie sana.
Sawa km wanayo ila cyo kwa utambulisho huo kuwa fuvu la mtu wa kale lilipatikana olduvai yao huko kenya,hilo lilipatikana hapo ngorongoro in Tz land
 
Mobile-friendly - n. An extinct hominin postulated from a skull found in Olduvai Gorge, Tanzania, in 1959 and originally designated Zinjanthropus boisei by Louis S.B. Leakey. It was later renamed Paranthropus boisei.
 
Mkuu kwani Olduvai gorge kama sijakoaea kweni iko wapi?
Mobile-friendly - n. An extinct hominin postulated from a skull found in Olduvai Gorge, Tanzania, in 1959 and originally designated Zinjanthropus boisei by Louis S.B. Leakey. It was later renamed Paranthropus boisei.
 
Haya Zanzibar ipo Kenya,Mt Kilimanjaro ipo Kenya,saadan ipo Kenya,kila vitu vizuri vya Tanzania vipo Kenya.
 
Tell them Olduvai Gorge Is in Tanzania.... - Innocent Prim M. Mungy | Facebook
Sehemu ya hotuba hii inamuonyesha huyu dada akihutubia na kusema Olduvai Gorge,mahali ambapo Dr Leakey na mkewe Mary waligundua fuvu la mtu wa kwanza kuwa ipo Kenya,na kila anapomuona "binadamu" anaona kuwa wote ni Wakenya sbb asili yao ni Olduvai Gorge nchini Kenya.
Tunajuwa katika mambo ya uandishi wa vitabu na vyanzo mbalimbali vya maarifa na machapisho yake,ukiiba kazi ya mtu na kuitumia bila idhaa yake,basi kifungo au adhabu ya namna yoyote inakuhusu,vipi aina hii ya mambo kama kusema "Olduvai Gorge" ipo Kenya wakati ipo kwa kina Molleli na Kaaya huko Arusha,haina adhabu yoyote kwa mpotoshaji??Maana hawa "watani" zetu wamekuwa wakisafiria nyota zetu sana,toka Mlima Kilimanjaro mpaka Olduvai Gorge??This is too much
Stupid Kenyans!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Samahani. Unafahamu hii speech huyu dada aliitolea wapi. I mean hapo ilikuwa wapi? Nimejaribu kulitafuta hilo jina la tabitha Gilbert aliyepost kwenye Facebook lkn nimekutana watu wengi kweli wenye jina hilo nikashindwa kujua who is who. Lengo langu ilikuwa ni kumpata huyu dada nimuhoji kwa nini anadanganya hadharani kiasi hiki bila uoga wala aibu. Pia nilitaka kujua hapo alipotoa hiyo hotuba palikua ni wapi na waandaaji kina nani ili niwaandikie email kuwataarifu kwamba huyo dada aliongea uongo kwa makusudi. Lakini nimeshindwa kuwapata.
Huyo dada anaitwa Rosemary Odinga mtoto wa Raila Odinga yupo facebook na twitter. Naomba tumpe elimu kidogo labda hakuelimishwa vizuri
 
Mkuu kwani Olduvai gorge kama sijakoaea kweni iko wapi?
1456629033798.jpg
1456629040867.jpg
1456629046886.jpg
1456629051386.jpg
 
Ina maana hata haya haoni huyo demu kupotosha watu hapo??
hata hao wazungu anaowaongopea kuna wanaoujua ukweli na lazima walimshangaa...
Kama ukweli anaujua lakini kaamua kudanganya kwa makusudi basi hawa wa Kei kweli wanatudharau mno!!
Hana tofauti na yule Waziri wetu wa one nineteen..... na visiwa vya Zanzibar ni muungano wa ......
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Si anasema hapo kwamba, amefundishwa. Ina maana huko kwenye shule zao ndivyo walivyofundishwa kwenye somo la historia au?
 
UJINGA WETU WENYEWE,TUMEKAA KUIBA TU TUNAPOPATA NAFASI ZA KUWA VIONGOZI BADALA YA KUTANGAZA TULIVHONACHO NA UKWELI UKOJE.
JITU LIKIPATA UWAZIRI LINAVIMBA TUMBO TU KWA WIZI BADALA YA KULISAIDIA TAIFA.
KWANINI KATIKA KILA MEETING TUSIWE TUNAANZA KUJITAMBULISHA KUWA TUNATOKA ARDHI YA MLIMA KILIMANJARO,SERENGETI,OLDUVAI NK
UKIWA NA MALI NA HUIJALI,WANAOHITAJI KUNEEMEKA NAYO WANAITUMIA,
sisi tunakomaa na kodi za mama nitilie.
Rais kama ameliona hilo alioe siku tusini,kama TANZANIA na vivutio vyake havijulikani duniani kote fukuza WAZIRI HUSIKA.
 

This is too much, oh my dear country mama Tanzania, this woman was TAUGHT, TAUGHT, This was an education to cultivate a “bitter tongue” – “fierce like the arrow of a scorpion”, “deadly like the spear of the buffalo-hornet”, “ferocious like the poison of a barren woman”, and “corrosive like the juice of the gourd” Shame on you.

Tanzania na Serikali kwa ujumla hebu fanyeni kitu hapa, Mlima KILIMANJARO Kenya, Simba wote wa Serengeti Kenya, Oldvai Gorge Kenya nini kimebaki sasa? Magogoni Kenya na Zanzibar Kenya ndo tuamke. Balozi wa kenya, Waziri wa Afrika Mashariki na Waziri wa Utalii tunataka maelezo,
 
image.jpeg

Tumwambieni Rais John Magufuli,hawa ni "family friend" wa familia ya Rais wa Tanzania,amwambie Odinga na ukoo wake kuwa Olduvai Gorge ipo Tanzania na si Kenya,labda wakiambiwa na JPM rafiki yao wataelewa
 
Kiama cha wakenya ni pale ambapo dunia nzima itaamini kila kinachosemwa na Mkenya ni Uongo.. Na huo muda unakaribia. ..
 
Siwashangai hawa wakenya miaka kma saba hivi mkwere aliifungua dunia kwamba serengeti, mt.kilimanjaro na tanzanite ni mali ya Tanzania lakini before ilikuwa vikijulikana kuwa vipo kenya.
 
Back
Top Bottom