Basi hawa jamaa ukuaji wao wa kiuchumi una mambo mengi. Wamewekeza hata kwenye uongo ili kuongeza fedha za kigeni kwenye uchumi wao. Yani nchi yao imewekeza kwenye uongo na utapeli pia. Wametupa kazi ya kuwekeza kwenye ukanushaji. Tukikanusha hili wanaibuka na lile. Unakua kama mchezo usioisha. Tulitumia pesa kuutaarifu ulimwengu kwamba kilimanjaro iko Tanzania. Nakumbuka tuliweka matangazo CNN na hata kwenye mabasi ya ghorofa UK. Sasa wameibuka na olduvai ambayo hii iko ngorongoro. Kwa maana rahisi ni kwamba huyu dad a kautaarifu ulimwengu Kwa Ngorongoro Crater iko Kenya. Tuwekeze katika kukanusha tena. Watakuja na serengeti. Duh kazi ipo hawa jamaa uongo wao utatutesa wakati wao wakichanja mbugaHawo Wakenya hata Babu wa kikombe kipindi kile waliutangazia ulimwengu kuwa ,,kikombe kinanywewa kwao Kenya,, ni sheeeda hawa jamaa.
Wewe hujakosea kabisa. Maana kuna watu wengi wageni walikua wakija kwenye kikombe samunge wakitokea Kenya. Hadi tukaamini kwamba ukiacha Tanzania Kenya ndio iliokua nchi ambayo watu wake wengi walikuja kjnywa kikombe. Hahaha jirani zetu ni shida iliyotukukaHawo Wakenya hata Babu wa kikombe kipindi kile waliutangazia ulimwengu kuwa ,,kikombe kinanywewa kwao Kenya,, ni sheeeda hawa jamaa.
Mpe salamu zake. Alafu mwambie atumie simu yake vzuriHatimaye nimefanikiwa kumpata huyu dada. Na roho yangu imetulia maana nimeshamtwanga swali nililotaka kumtwanga. Nimemuuliza pia ule ulikua ni mkutano gani Na ulifanyikia wapi. Kumbe ni Rosemary Odinga mtoto wa Raila Odinga.
View attachment 326084 View attachment 326087
Ina maana hata haya haoni huyo demu kupotosha watu hapo??
hata hao wazungu anaowaongopea kuna wanaoujua ukweli na lazima walimshangaa...
Kama ukweli anaujua lakini kaamua kudanganya kwa makusudi basi hawa wa Kei kweli wanatudharau mno!!