Yupo anafatilia huu Uzi, inabidi afatilie kimya kimya, kumbe atasemaje?Yule dingi anajiita MK254 bado yupo humu?.ni siku nyingi kidogo,sijaweka umakini wa kutembelea jf Mara kwa Mara kama zamani.
mkimuona mwambieni aibuke huko mafichoni aliko jificha aje atolee maelezo aibu hii ya huyo Dada yake anaye dai oldvui gorge ipo kenya.
shame on her.
Hii ni coment yako ya pili au tatu bado unamsifia huyo dada kuwa kafanya sawa! Na hitimisho langu ni hili, wewe Shafi_Abeid sio mtanzania asilani.Sasa wewe hutaki jirani yako apate pesa mgongo wako? Ni bora wapate Wakenya kuliko Wazungu. Suala la msingi ni kwamba Watanzania tuache kulalamika. Tutangaze mali zetu na tushukuru wengine wanapotusaidia kufanya hivyo hata kama wanatumia jina la Kenya kufanya hivyo. Mwisho wa siku, mgeni atakayekuja atagundua kwamba Oldvai Gorge ipo Tanzania.
Tena ingependeza kama ungekuwa umevaa raizoni hawa jamaa kuna waqt abasi magongo anachezea gor mahia walikuwa wanasema"hii mtu nasaliwa mpakani mwa tansania na kenya ila ni mitu ya kenya.Km ningalikuwapo hapo ningemfanyia km alivyofanyiwa bush na yule mwandishi wa habari na nauhakika asingeweza kukikwepa kiatu changu huyu nyambafu,hv kulikuwa hakuna mtz hpo anapotoa speechlessbloodfuuuhkhhhhhhnaahghhhhh
Hii ni coment yako ya pili au tatu bado unamsifia huyo dada kuwa kafanya sawa! Na hitimisho langu ni hili, wewe Shafi_Abeid sio mtanzania asilani.
Huyu mwanamke ni nyang'au
Ningefurahi na wala nisingechukia kama wangesema Mzee wa msoga kikwete ni wa kwaoMiningependa waseme
Fisadi papa East Africa Lowassa yupo kwao
Hapo ningeona kama wametupunguzia Mkosi