Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.

Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.

Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.

Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.

Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k

Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Duh
 
Huko jela akaombe aingiwe na roho ya El Chapo Joaquin Guzman ili naye atoroke jela
 
Nabii Shila ana muujiza wake mmoja huo wa maombezi mkiwa wawili ofisini kwake ambao inabidi amuue kuku kimya-kimya katikati ya sala kabla muumini hajafungua macho.
Yani muumini kabla hajafunga macho akiwa anaombewa anaonyeshwa kuku mzima anadanganywa kuwa anatolewa mapepo ya hatari sana na yanahamishiwa kwa kuku.
Akimaliza kuombewa akifungua macho anakuta kuku amekufa anadanganywa mapepo yaliyohamishiwa kwa kuku kutoka kwake na yalikusudia kumuua lakini nabii ameyawahi yameishia kumuua kuku kumbe nyuma ya pazia Nabii Shila anamdunga kuku sindano yenye sumu kali saana bila muumini kumuona na inabidi sala iwe ndefu kweri-kweri.
Hahahaa Yule dogo ni mpigaji tu kwa style yake ya dini.

Eti kuna waumini wanamskiliza yule pumbavu.

Njaa mbaya sana.

Yule mvuta bangi kweli mtu unaenda unawahi asubuhi kumsikiliza.

Angekua Rwanda tu angeambiwa aende mwenyewe kituoni ajisalimishe.
 
😀😀😀 Umezungumzia jambo la umuhimu sana, "afya ya akili". Katika hali yakawaida umwambie mtu nimechukua MJ nimemuweka kwa kijana huyu atupe burudani, na mtu mwenye akili timamu akae kukusikiliza?

Ule utafiti unazidi kusogea juu Kwa Kasi sana. Naogopa sana usijefika 10/10
 
kinacho niuma, Ex wangu ndio Mfalme na Mungu wa wengine.
Mungu ana vaa pedi!
 
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.

Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.

Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.

Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.

Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k

Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Acha mamburula yapigwe na kuliwa vichwa unayastua ya nini?
 
Hao "manabii" na "mitume" wa namna hiyo ni WACHAWI. Wanatumia mapepo ya mvuto, ukishaingia kanisani kwake anakamata akili yako inabaki huko huko. Akikwambia utoe kiasi chochote cha pesa utatoa tu maana ameshafungia akili yako ndani ya chungu anakuwekea ya kipepo.

Wewe hujaona wengine wanalala kifudifudi halafu huyo "nabii" anawakanyaga migongoni?

Kuna clip niliona ya "nabii" mmoja anapaka wasichana wazuri tu mafuta mwili mzima (pamoja na "ikulu") baada ya kuwaambia wakaoge. Wanarudi wamejifunika taulo tu halafu wanaichia wazi ndio "nabii" anampaka mafuta.

Hayo yanafanyika mahali panapoitwa "kanisani" kwa huyo "nabii" Kuna ushetani mkubwa kuliko huo?
 
Back
Top Bottom