Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

Status
Not open for further replies.
Duh....hakika watoto wa Mama Tanzania wanafanana sana, kama Sofia Simba vile....

ha ha ha, ukichukulia kuwa yeye ni (Butola) ni mtetezi wa mafisadi wa ccm, hii inamweka pale pale pembeni ya sofia simba na mama kikwete (kwenye kampeni zao za shuka kwa shuka).
 
SLAA kafeli SAKRAMENTI ya upadirisho KAFELI sakramenti ya NDOA, na ya KITUBIO nayo KAFELI ataweza nini?

Ubunge,
Kuwapa hell mafisadi wa ccm,
kubadili mwenendo wa bunge la Tanzania 2005-2010
Uraisi wa Tanzania 2010-2015

Need i say more
 
Ha ha ha,
The first time nimesema hapa kuwa Kiranga ni mtetezi wa mafisadi wa ccm, aliruka kimanga na kuna watu walimwamini. Mimi nilimjua siku nyingi sana.

Anachofanya kiranga, ni kudanganya wasomaji wake wamuone kuwa anakosoa kila mtu. Ukweli ni kwamba, target yake kubwa ni chadema - Slaa, Regia, Shibuda na wengineo.

Katika siku 30 zilizopita, Kiranga amepost vitu vingi akipondea chadema kuliko alivyopondea ccm. Kama anabisha hili anipinge.

Husemi Kiranga alivyowararua kina Kikwete, Makamba, Mkapa, na hata Nyerere. Husemi alivyoirarua CCM repeatedly hapa. Hayo huwezi kuyasema kwa sababu ukiyasema utamuonyesha Kiranga katika mwanga stahili, kwamba Kiranga ni mtu aliye objective anayekemea mabaya popote ayaonapo.

Mimi nimekuuliza wapi umewasema CHADEMA kwa kirefu, sijaona kama umenijibu hili.

Kama huwezi kuwasema CHADEMA ni sahihi kusema kwamba hauko objective na kwamba wewe ni CHADEMA fanboy tu ?
 
Ubunge,
Kuwapa hell mafisadi wa ccm,
kubadili mwenendo wa bunge la Tanzania 2005-2010
Uraisi wa Tanzania 2010-2015

Need i say more

Ha ha ha ha
SLAA kafeli SAKRAMENTI ya upadirisho KAFELI sakramenti ya NDOA, na ya KITUBIO nayo KAFELI ataweza nini?
 
Mimi nimekuuliza wapi umewasema CHADEMA kwa kirefu, sijaona kama umenijibu hili.

NImekujibu vizuri kabisa. Mimi sidai na kujisifu kuwa nimeisema chadema kwa kirefu. Ukweli unabaki pale pale, mimi siipendi ccm na katika uchaguzi huu nimechagua chama mbadala (CHADEMA).

Kama huwezi kuwasema CHADEMA ni sahihi kusema kwamba hauko objective na kwamba wewe ni CHADEMA fanboy tu ?

Nimekubali kuwa mimi inapokuja kuchagua kati ya ccm na chadema, sihitaji chochote zaidi ya kuchagua chadema kwa moyo wote.

Madhira ccm waliyoifanyia nchi yanatosha kabisa kunipa sababu ya kufanya hivi

Hebu wewe eleza pale ulipoibonda ccm for the last 30 days.
 
labda nikuulize wewe msomi wa porraaandi

SLAA kafeli SAKRAMENTI ya upadirisho KAFELI sakramenti ya NDOA, na ya KITUBIO nayo KAFELI Na hii yote ni page mbili tu ktk katekisimu. Ataweza nini?
 
Ahsante,

Mimi nawaambia wana JF hapa, kama mnasimamia priciple za kupinga uovu, basi pingeni uovu bila kujali kwamba aliyefanya ni Slaa au Kikwete, CCM au CHADEMA.

Tatizo watu wanataka kuvaa miwani ya mbao kama matatizo ni ya CHADEMA.

Kuna mkuu alitukumbusha huko juu, kipendacho roho, chongo huita kengeza. Hata Malcolm X alipokuwa katika Nation of Islam alipoanza kupata habari za ubaradhuli wa Elijah Muhammad kuwaingilia vimwana wadogo waumini wake na kuwapa mimba alitaka kumu excuse kwa kila jinsi aliyoweza, hakuweza kuamini ati. Mpaka baadaye alivyoenda Hajj na kurudi Marekani ndipo alipofunguka macho na kuona hila za Elijah Muhammad.

Najua baadhi yetu tuna shock kuona mtu kama Slaa ambaye tulimuwekea matumaini makubwa sana anakuja kutu dissapoint vibaya hivi.Lakini ukweli - so far- unaonekana kwamba Slaa is just a man na ana matatizo yetu yale yale ya kila siku, na ana matatizo ya integrity kama uongozi wetu wa sasa.

Kwa hiyo hata kama mnaenda kumchagua Slaa, mumchague huku mnajua hili.Kwamba msitegemee muujiza, na mambo yanaweza kabisa kuwa mabaya zaidi ya CCM.

I am not a CCM fan, but I am just asking myself, kama mtu ana guts za kupiga campaign ya urais huku amemuweka kinyumba mke wa mtu, je akipata urais atakuwa na guts za kufanya nini ?

Yes you are madam! Suala sio kubwatabwata tu mimi sio shabiki wa CCM/JK. Posts zako ndizo zinazoonyesha hilo.
 
Ha ha ha,
The first time nimesema hapa kuwa Kiranga ni mtetezi wa mafisadi wa ccm, aliruka kimanga na kuna watu walimwamini. Mimi nilimjua siku nyingi sana.

Anachofanya kiranga, ni kudanganya wasomaji wake wamuone kuwa anakosoa kila mtu. Ukweli ni kwamba, target yake kubwa ni chadema - Slaa, Regia, Shibuda na wengineo.

Katika siku 30 zilizopita, Kiranga amepost vitu vingi akipondea chadema kuliko alivyopondea ccm. Kama anabisha hili anipinge.

Siku 30 nyingi sana, twende nyuma just about a week.
Angalia

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...igamboni-wakosa-shamrashamra.html#post1064100

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/72056-the-jamii-forum-effect.html#post1061519

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...asa-ni-katika-maji-ya-kunywa.html#post1061599

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...asa-ni-katika-maji-ya-kunywa.html#post1061636

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...oel-kimbisa-juu-ya-dr-w-slaa.html#post1058601
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...l-kimbisa-juu-ya-dr-w-slaa-2.html#post1061221

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-tume-ya-taifa-ya-uchaguzi-3.html#post1059978

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...sha-kampeni-na-kurejea-dar-2.html#post1057887
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...sha-kampeni-na-kurejea-dar-2.html#post1057890
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...sha-kampeni-na-kurejea-dar-2.html#post1057894

Na ukirudi nyuma zaidi kuna posts nyingine zilizo even deadlier.
You cannot call me a CCM fan.

Wewe on the other hand umeshakubali kwamba ni CHADEMA fanboy, na hivyo huna objectivity kwa watu wanaotafuta independent commentary and views.
 
Siku 30 nyingi sana, twende nyuma just about a week.
Angalia

Na ukirudi nyuma zaidi kuna posts nyingine zilizo even deadlier.
You cannot call me a CCM fan.

Nilikuuliza uweke percentage, je ni kiasi gani umewabonda ccm compared to chadema>

Wewe on the other hand umeshakubali kwamba ni CHADEMA fanboy, na hivyo huna objectivity kwa watu wanaotafuta independent commentary and views.

Mimi sikatai hili. Hii ndio tofauti yangu na wewe.
Mimi siwapendi ccm kwa hiyo niko biased when it comes to this.

On the other side, wewe unawapendelea ccm na kisha unaleta unafiki kusema kuwa sivyo.
 
Nishasema hapo juu kwamba I am not as interested in the integrity of this guy aliyechukuliwa mke as I am in the integrity of the person who has a shot (however remote) at being the next president.

This has the potential of making Dr. Slaa officially wack.
why worry about the integrity of a guy who has a remote chance of winning?
lets talk about the integrity of guy who is got a real chance of winning oct polls..
 
Si Kamchukua Mke wa Mtu? Au huko si kuweza?

Yaani unachukua mke wa mtu halafu yeye hata kusema hawezi na anakuja kukurupushwa na Makamba kuwa "ehh wee acha ulevi. Chukua Prado hilo na nenda kadai umechukuliwa mkeo".

Huyu jamaa na wote wanamtetea sintashangaa kuwa kwenye kundi moja.

SLAA kafeli SAKRAMENTI ya upadirisho KAFELI sakramenti ya NDOA, na ya KITUBIO nayo KAFELI Na hii yote ni page mbili tu ktk katekisimu. Ataweza nini?
 
Hii ndo iliyotufanya sisi tushindwe kujua hasa kama hutetei wezi wa mali ya uma CCM ambao kwangu mie siamini kama ni chama cha siasa, ni kundi la criminals ambao wanatumia chama cha mapinduzi ili kutuibia.

Imenishangaza leo ulipodai kuwa ni bora tuwaache hao madarakani kuliko mtu ambae ni kinara wa ukombozi wa watanzania ila tu kwa kuwa ametangaza uchumba na mtu ambae anasadikiwa ametelekezwa na mume wake wa ndoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom