Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,957
- 288,156
- Thread starter
- #141
Huna lolote !Hakika! Jitahidi kujua parameters za upelelezi na utoaji taarifa. Lazima kupelelezwe tukio na wahusika na sio wahusika wa tukio tuu. Maana unaweza ukawa unapeleleza wahusika hewa kukiwa na tukio hewa.