Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Kamati kuu ya CCM imekaa leo kila mtu anatafuta atoke vipi aonekanekama wenzie akina Mollel angalao wapate kaubunge.Usipoonekana unamkakati sawa na mfalme upati kitu .Njaa mbaya kweli
 
Nkurunzinza angakuwa somo kwao jamaa kafyeka watu wake lkn nae kapitiwa kwisha habari yake so hawa wapuuzi wetu kule majengoni usiwe na wasi nao Mungu anahesabu uovu wapo
Yaani Covid 19 ilipita bungeni ikaondoka na watu watatu tu? Haiko fair kabisa
 
Lijualikali yeye amekuwa juu zaidi ya ripoti ya madktari sio?
Yeye na baba mkwe wake wameacha kazi ya kuwawakilisha wananchi wamegeuka kuwa madaktari!! Yaani wanajua status ya Mh. Mbowe maana wao ndiyo waliompokea pale hosp..Maajabu ya dunia.
 
Anachonijengenezea Ndugai ni aibu kubwa kwa familia yake , juzi alikataliwa kwao na wananchi mbele ya ubongo wake

View attachment 1474365
Safari hii ndugai hapenyi kwenye kura za maoni, na sisi wananchi wa Kongwa tumejipanga akimpiga tena fimbo yule mpinzani wake na sisi wananchi tunamwua hapo hapo!
 
Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza.

Naona unakata kaclip ili uwadanganye wanasaccos wenzio sisi tumesikiliza mkutano wake wote nenda youtube hapa alikuwa anajibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua polisi wameelezwa ameshambuliwa na silaha gani. Kwa hiyo alikuwa anazungumzia taarifa iliyoripotiwa Polisi wala si uchunguzi wao! Uwe mwelewa wewe dada!
 
weka clip yote
 
Back
Top Bottom