Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,861
- 287,896
- Thread starter
- #121
pole mkuuUmenichomea sasa
pole mkuuUmenichomea sasa
RCP kaanza kupigwa Majungu na Mbunge Msukuma anataka aondolewe Dodomamtapanua sana magoli , sasa kuna tetesi kwamba kwa video hii Murroto anahamishiwa makao makuu na uchunguzi umesitishwa , lakini teknolojia imehifadhi kumbukumbu
Ndungai bado anameza dawa alizotoka nazo India mwili wake umejaa dawa kila mahali sasa hafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali anafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCMAnachonijengenezea Ndugai ni aibu kubwa kwa familia yake , juzi alikataliwa kwao na wananchi mbele ya ubongo wake
View attachment 1474365
Hivi anaumwa nini huyo jamaa aiseee ?Ndungai bado anameza dawa alizotoka nazo India mwili wake umejaa dawa kila mahali sasa hafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali anafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM
Upumbafu ni huo mnaofanya,inawezekana Leo kwavile dhamiri zenu zimekufa hamjui kuwa hayo mambo mtendayo ni ya kipumbavu.Huyo kamanda kaongea hicho tu basi. Mna mahaba mpaka kwenye upumbavu
AhmadaHivi anaumwa nini huyo jamaa aiseee ?
Hamjui kwamba upumbavu ni nyinyi ndo mnafanya. Hivi mbowe adhuriwe kwa lipi hasa? Kiongozi wa chama saa 8 za usiku unatoka wapi bila walinzi.Upumbafu ni huo mnaofanya,inawezekana Leo kwavile dhamiri zenu zimekufa hamjui kuwa hayo mambo mtendayo ni ya kipumbavu.
Umekua kituko hapa jfUnachekesha.
Wanalipwa hao mkuu , ndio maisha yaoUmekua kituko hapa jf
Mroto anaelezea kile kilicholetwa kama taarifa. Na anaelekeza kufanywa uchunguzi haraka. Baada ya uchunguzi, ndipo statement ya polisi rasmi itatolewa juu ya kitu gani kilitokea. La sivyo upelelezi usingefanyika. Ni akili tuu kuelewa haya hauhitaji kitu kingine.Kwa hiyo wewe unaamini akiweka video yote kuna sehemu Murroto anakanusha kuwa Mbowe hakukanyagwa?
Na mengine aliyoyasema ni kutoingiza siasa kama wewe na Ndugai mnavyofanyaMroto anaelezea kile kilicholetwa kama taarifa. Na anaelekeza kufanywa uchunguzi haraka. Baada ya uchunguzi, ndipo statement ya polisi rasmi itatolewa juu ya kitu gani kilitokea. La sivyo upelelezi usingefanyika. Ni akili tuu kuelewa haya hauhitaji kitu kingine.
Hawezi kuelezea kwenye umma kilicholetwa kama taarifa tu kama haamini alicholetewa ni kweli. Upelelezi unafanyika ili kuwatafuta waliofanya tukio Hilo.Mroto anaelezea kile kilicholetwa kama taarifa. Na anaelekeza kufanywa uchunguzi haraka. Baada ya uchunguzi, ndipo statement ya polisi rasmi itatolewa juu ya kitu gani kilitokea. La sivyo upelelezi usingefanyika. Ni akili tuu kuelewa haya hauhitaji kitu kingine.
Anakwenda na corona huyo,Kwa anavyoongea kwa kebehi watu wanapoumizwa Nahisi ndughai ataish milele
Ni akili tuu kuelewa hauhitaji kitu kingine.Hawezi kuelezea kwenye umma kilicholetwa kama taarifa tu kama haamini alicholetewa ni kweli. Upelelezi unafanyika ili kuwatafuta waliofanya tukio Hilo.
Upo sawa, ila tunatofautiana akili/uelewa.Ni akili tuu kuelewa hauhitaji kitu kingine.
Tatizo liko wapi?Umekua kituko hapa jf
Hakika! Jitahidi kujua parameters za upelelezi na utoaji taarifa. Lazima kupelelezwe tukio na wahusika na sio wahusika wa tukio tuu. Maana unaweza ukawa unapeleleza wahusika hewa kukiwa na tukio hewa.Upo sawa, ila tunatofautiana akili
Huwezi kuona si zombieTatizo liko wapi?