Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Miaka ileeeee ya zama za kale, pombe ilikuwa inatumika kama dawa ya ganzi au nusu kaputi. Ili kufanyiwa upasuaji au kung'olewa jino, watu walikuwa unayeshwa pombe kwanza na kulewa ndio asisikie maumivu.

Je, hakuna uhusiano wa kunywa pombe na kumjeruhi mwenyekiti kwa makusudi ili kujenga hoja ndani ya chama?

Ni swali tu kama maswali mengine..
Ukiwa na kichefuchefu eidha cha kuvimbiwa au uja uzito si vyema kuchangia tazama ulivyo haribu hali ya hewa hii ni zaidi ya kujamba mele ya mkweo
 
Kwa anavyoongea kwa kebehi watu wanapoumizwa Nahisi ndughai ataish milele
Ishu sio milele wote kule wanasifia ili kwenye daftari la maoni kurudishwa jimboni wawekwe ndio maana saa hivi nguvu kubwa inatumika kumpamba mwenyekiti
 
Nchi fulan isiyokosa vichekesho, kwan mtindo huuu hat shetan anawashangaa hawa Vegetation
 
Ndugui ni mtu wa kudharauliwa siku zote, ameharibu bunge letu kwa kulifanya kuwa la kiswahili na mipasho hivyo kupoteza hadhi yake kabisa!
 
Sihitaji kusubiri taarifa ya Muroto, iko wazi huwezi anguka kwenye ngazi Tena umelewa usivunjike/kutenguka mkono, kuuumia kichwa au mbavu,
Sasa kwa taarifa yako huwezi vamiwa ukateguliwa kisigino tuu usiguswe pengine.
 
Ukiwa na kichefuchefu eidha cha kuvimbiwa au uja uzito si vyema kuchangia tazama ulivyo haribu hali ya hewa hii ni zaidi ya kujamba mele ya mkweo
Hivi mnaogopa nini kusikia mwenyekiti kacheza sinema ya mwaka? Na yeye ni binadamu kama wengine.
 
Back
Top Bottom