Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

Safari hii ndugai hapenyi kwenye kura za maoni, na sisi wananchi wa Kongwa tumejipanga akimpiga tena fimbo yule mpinzani wake na sisi wananchi tunamwua hapo hapo!
Kaka, kura za maoni mwaka hii hazipo...kama hujui nakuoa taarifa...

Yaani zitakiwepo ila maamuzi yapo juu!! Jamaa anatamba si bure anajua mkakati....

Kura za maoni itakuwa ni gelesha tu
 
Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza.

Mtaokoteza ushahidi hadi utakao waangamiza wenyewe.
FB_IMG_15918103613000337.jpg
 
Hii taarifa nimeitafuta sana huko YouTube sijaiona kabisa hebu mwenye hiyo video full aiweke hapa yote tuone taarifa nzima na sio hicho kipande cha sekunde 16 tupu.
 
Kwa hiyo wewe unaamini akiweka video yote kuna sehemu Murroto anakanusha kuwa Mbowe hakukanyagwa?
Mkuu hii taarifa haipo sehemu yoyote ile kwa kweli binafsi baada ya kuiona hapa nimeenda kutafuta huko sijaiona hii video, tunaomba mwenye full video aiweke hapa tuangalie taarifa yote kama kuna mwenye nayo.
 
Wajameni kwenye sakata hili mi nina wasisi sana na ndyughy pamoja na genge lake la akina mskuma
 
Back
Top Bottom