Sisi hadi muasisi Jiwe arudi kulivunja.Bado kwetu TZ
Sisi hadi muasisi Jiwe arudi kulivunja.Bado kwetu TZ
Alilianzisha nani ?Safi sana Mr.President..
So sadKha! Kumbe hivi vitu vipo😭😭😭
Hata hivyo amejitahidi sana. He is so boldAnavunja kundi , liliundwa na nani ?
Mbaya sana hapa duniani ukiwa muoga halafu mnafiki ukweli ukidhihiri unabaki kutumia vidole!Malizia ubwabwa tu shekhe ,watu wenye njaa Kali iliyopanda kichwani mna matatizo sana
Serikali zilizopita zinafahamu hiloAlilianzisha nani ?
😹😹😹 Hili jina unalitendea haki sana.!!Wakenya elimu yao inawasaidia sn tofauti na mapumbavu ya huku ndiyo maana yanatakiwa kwenda VETA tena yakavae uniform na darasa la 4 au 6
Maua Mkuu👉💐💐💐💐💐Asiishie kuivunja, bali aende mbele zaidi kwa kuwafikisha Mahakamani ili wakajibu mashitaka juu ya tuhuma zao.
Itakua alilianzisha mwenyewe kwenye ile vurugu ya gen z.Anavunja kundi , liliundwa na nani ?
Kwanini mkuu?😹😹😹 Hili jina unalitendea haki sana.!!
Halafu ushindi atapataje?Mama nae alivunje hilo genge la watekaji analolifadhili.
Kamati ya utulivu was Mkojani inazidi kuboreshwa na kuongezewa Watu.Mama nae alivunje hilo genge la watekaji analolifadhili.
Wakenya elimu yao inawasaidia sn tofauti na mapumbavu ya huku ndiyo maana yanatakiwa kwenda VETA tena yakavae uniform na darasa la 4 au 6
Ndiyo maana Kenya hakuna utekaji pamoja na kwamba kuna magaidi ya SomaliaItakua alilianzisha mwenyewe kwenye ile vurugu ya gen z.
Ushindi atapata kwa kutumia Balot BoxHalafu ushindi atapataje?
Spana zako unazopiga huwa nacheka sana nikiingia jukwaa la siasa..!!Kwanini mkuu?
Kaanzisha mwenyewe anavunja mwenyeweItakua alilianzisha mwenyewe kwenye ile vurugu ya gen z.
Huku kwetu rais anafurahishwa na watekaji na wababikizaji wa kesi za uongo na kuwapandisha vyeoRais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
View attachment 3289809