Hiyo video nimeiona jana tweeter nimejiuliza maswali mengi sana.
Hiyo footage ingekuwa na sauti ingeweza kunipunguzia baadhi ya maswali.
Maswali ambayo nimejiuliza.
1. Ni kwamba huyo mwela hakuwa na lengo la kumdhuru huyo muhindi ila alikuja kupata temper baada ya kujibiwa eidha vibaya na muhindi.
2. Mwela alikuwa ni mtu aliyetumwa au ana watu wakubwa serikalini ambao ni eidha ndugu zake au marafiki zake ambao anajua watamkimgia kifua, kitendo cha kikatili kama kile kinaweza kisiwe na madhara kwake kwasababu ya backup aliyonayo serikalini.