Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

Hali ni mbaya sana......Hakika kifo cha JPM kimeacha vacuum kubwa sana....
Things have fallen apart
Yule Mfu ndio alituharibia nchi shenzi kabisa yule
Zamani rushwa japo pia sio kitu kizuri ilikuwa ya maelewano kutokana na uwezo wako, sasa wanataka rushwa lazima na kwa kutishia watu maisha,
Na Hamza kawaonyesha watanzania ukweli unaoendelea na ni Shujaa kuliko kenge yule mwendazake.
 
HII KITU MBAYA SANA,NAONA HAO WATU WASHACHOKA NA WANAONEKANA WAKO TAYARI KWA LOLOTE
SERIKALI INGEUNDA KITENGO MAALUM KINACHOJITEGEMEA KUPOKEA MALALAMIKO
DHULUMA,YANAYOFANYIKA NA POLICE
MALALAMIKO YOTE YAPELEKWE HUKO

ova
Nani aunde kitengo?
serikali ipi? kwa rais yupi? kwa PM yupi? kwa Spika yupi? kwa CJ yupi? Tuko kwenye moto wa Luciferi! Mwanamke ni mwanamke tu (mnismehe najua nitawagusa mama zangu, dad zangu, mnisamehe. Sector nyingine fanyeni kazi, siyo ofisi Kuu!)
1630066785097.png
1630066868396.png
[
1630067164025.png
ATTACH=full]1911229[/ATTACH]
1630067019724.png

Rais yupo ofisini anachapa kazi baada ya siku mbili...Rais amekufa
 
Lakini hiyo video ni ya mda mrefu na ni ya huko Kenya Ila ukweli ni kwamba majeshi yetu yaboreshwe na Kama mtu anaona hawezi bila hongo aachie ngazi

Nilihisi hili nilisikia kama lafudhi ya Kenya.
 
Nani aunde kitengo?
serikali ipi? kwa rais yupi? kwa PM yupi? kwa Spika yupi? kwa CJ yupi? Tuko kwenye moto wa Luciferi! Mwanamke ni mwanamke tu (mnismehe najua nitawagusa mama zangu, dad zangu, mnisamehe. Sector nyingine fanyeni kazi, siyo ofisi Kuu!)
View attachment 1911224View attachment 1911228[View attachment 1911235ATTACH=full]1911229[/ATTACH]View attachment 1911231

Rais yupo ofisini anachapa kazi baada ya siku mbili...Rais amekufa
Unajua ukishakuwa police,au kitengo cha police
Kna mgawanyiko...kuna good cops and bad cops
Kwa sababu police wanashulika na kuzuia uhalifu na wahalifu,wapo pia police wanao shirikiana na wahalifu
Hii kitu iko kokote duniani kwa upande wa police

Ova
 
Yule Mfu ndio alituharibia nchi shenzi kabisa yule
Zamani rushwa japo pia sio kitu kizuri ilikuwa ya maelewano kutokana na uwezo wako, sasa wanataka rushwa lazima na kwa kutishia watu maisha,
Na Hamza kawaonyesha watanzania ukweli unaoendelea na ni Shujaa kuliko kenge yule mwendazake.
Cheki chura nyingine hii huku
 
Unajua ukishakuwa police,au kitengo cha police
Kna mgawanyiko...kuna good cops and bad cops
Kwa sababu police wanashulika na kuzuia uhalifu na wahalifu,wapo pia police wanao shirikiana na wahalifu
Hii kitu iko kokote duniani kwa upande wa police

Ova
Ni kweli mkuu hiyo ipo hata kwa nchi kama Italy au Mexico kwenye wajuba mafia na cartel wakweli, na hao wa kitengo wanakuwa na mshahara wa juu kuliko wa kawaida..
Lakini kwetu huku njaa kali, hawawezi kujitoa kuwa wasafi wakati mshahara haufiki wiki ya pili..........
Kitengo kitageuka cha upigaji....kama Nigeria kulikuwa na kitengo kinaitwa SARS kwa hili lengo lakini kilikuwa kinatesa na kupiga hela ndefu na wanaigeria wakafanya fujo mpaka kilifutwa na afisa mmoja alikuwa anatafutwa na FBI ya USA kwa kupiga hela na fraud gangs.
 
Brazil pia ipo,maana utakuta wako polisi wanashirikiana na wahalifu hadi kupeana taarifa
Kitengo kama hichi ndicho kinawasimamia

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom